Thread closedKwani ww umesahau kuwa watz ni watu wa kwenda na upepo?
Ulianza upepo wa bandari ukaisha,ukafuata upepo wa mgao wa umeme ukapita, ukaja upepo wa makonda kuteuliwa kuwa mwenezi wa ccm ujapita ,ukaja upepo wa Simba kufungwa 5 na yanga ukapita , ukaja upepo wa manara kutembea sijui na demu gani ukapita, ukaja upepo wa Mwinjaku kuzindua ghorofa ukapita,sasa hivi tuko kwenye upepo wa maandamano ya chadema yaliyo tangazwa na mbowe , yaani hili linchi lina mambo ya hovyo na raia wake pia ni wa hovyo.
Rekebisha uzi. Umesahau upepo wa Mafuriko ya Hanang [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Kwani ww umesahau kuwa watz ni watu wa kwenda na upepo?
Ulianza upepo wa bandari ukaisha,ukafuata upepo wa mgao wa umeme ukapita, ukaja upepo wa makonda kuteuliwa kuwa mwenezi wa ccm ukapita ,ukaja upepo wa Simba kufungwa 5 na yanga ukapita , ukaja upepo wa manara kutembea sijui na demu gani ukapita, ukaja upepo wa mtz aliye uliwa na Hamas ukaisha, ukaja upepo wa Mwinjaku kuzindua ghorofa ukapita,sasa hivi tuko kwenye upepo wa maandamano ya chadema yaliyo tangazwa na mbowe , yaani hili linchi lina mambo ya hovyo na raia wake pia ni wa hovyo.
Rekebisha uzi. Umesahau upepo wa Mafuriko ya Hanang [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Tujuze kwani kulitokea nini😎Habari Wakuu!
Samahanini kama nitawakwaza maana huenda likawa swali lenye kutoneza hisia za watu maana sijui iliiashia vipi (May be labda ndo kweli imeenda)
Ssa wanaJamiiForums kwa kipind fulani nilikuwa chaka huko hata kufuatilia yanayoendelea ilikuwa kikwazo lakini baada ya kurejea naona sisikii tena kuhusu bandari
Ningependa munijuze wanaJamiiForums wenzangu kwani imeeishiaishia vip?
Natanguliza shukrani za dhati kwenu[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Maandamano ya Mdude na Mwabukusi yaliikimbizaHabari Wakuu!
Samahanini kama nitawakwaza maana huenda likawa swali lenye kutoneza hisia za watu maana sijui iliiashia vipi (May be labda ndo kweli imeenda)
Ssa wanaJamiiForums kwa kipind fulani nilikuwa chaka huko hata kufuatilia yanayoendelea ilikuwa kikwazo lakini baada ya kurejea naona sisikii tena kuhusu bandari
Ningependa munijuze wanaJamiiForums wenzangu kwani imeeishiaishia vip?
Natanguliza shukrani za dhati kwenu[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Cc denooJ nilikwambia watanzania ni watu wanaenda kwa upepo tu hawana reasoning yoyote ile.Habari Wakuu!
Samahanini kama nitawakwaza maana huenda likawa swali lenye kutoneza hisia za watu maana sijui iliiashia vipi (May be labda ndo kweli imeenda)
Ssa wanaJamiiForums kwa kipind fulani nilikuwa chaka huko hata kufuatilia yanayoendelea ilikuwa kikwazo lakini baada ya kurejea naona sisikii tena kuhusu bandari
Ningependa munijuze wanaJamiiForums wenzangu kwani imeeishiaishia vip?
Natanguliza shukrani za dhati kwenu[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Nimekupata vyema MkuuKwani ww umesahau kuwa watz ni watu wa kwenda na upepo?
Ulianza upepo wa bandari ukaisha,ukafuata upepo wa mgao wa umeme ukapita, ukaja upepo wa makonda kuteuliwa kuwa mwenezi wa ccm ukapita ,ukaja upepo wa Simba kufungwa 5 na yanga ukapita , ukaja upepo wa manara kutembea sijui na demu gani ukapita, ukaja upepo wa mtz aliye uliwa na Hamas ukaisha, ukaja upepo wa Mwinjaku kuzindua ghorofa ukapita,sasa hivi tuko kwenye upepo wa maandamano ya chadema yaliyo tangazwa na mbowe , yaani hili linchi lina mambo ya hovyo na raia wake pia ni wa hovyo.
Kwani ww umesahau kuwa watz ni watu wa kwenda na upepo?
Ulianza upepo wa bandari ukaisha,ukafuata upepo wa mgao wa umeme ukapita, ukaja upepo wa makonda kuteuliwa kuwa mwenezi wa ccm ukapita ,ukaja upepo wa Simba kufungwa 5 na yanga ukapita , ukaja upepo wa manara kutembea sijui na demu gani ukapita, ukaja upepo wa mtz aliye uliwa na Hamas ukaisha, ukaja upepo wa Mwinjaku kuzindua ghorofa ukapita,sasa hivi tuko kwenye upepo wa maandamano ya chadema yaliyo tangazwa na mbowe , yaani hili linchi lina mambo ya hovyo na raia wake pia ni wa hovyo.
Duh! [emoji24][emoji24][emoji24]BANDARI INAENDA VIZURI DP WORLD KESHA KABIDHIWA ANAJIPIGIA ATAKAVYO
Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Na Gig money asisahaulike MkuuRekebisha uzi. Umesahau upepo wa Mafuriko ya Hanang [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Walishamove wapo kwa TB joshua ila nalo litapita... Watanzania hawana consistency kiufupi hawana maajabu[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]Itakua huwajui watz!
Hata leo waziri wa fedha anaweza kusema bajeti ya Oxygen trillion 10 na hamna kitu mtafanya
Zuzu mwenyewe mkuu😀imeishia kwa MISO MISONDOOO...!! ukiongozaa mazuzu rahaa sanaa