Power Benq
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 548
- 456
Wadau na mimi nichangie hili la madawa ya kulevya kwa kuweka red flag kule Makete hasa hayo maeneo niliyoyataja yaani Kikondo na Kitulo. Kule bangi ni nyingi mno na inajiotea tu, ukiweka na hali ya hewa kwa ustawishaji wa mmea huo basi ni hatari tupu. Mlioko karibu na kamishina mfikishieni ujumbe ili tujue tunaifanyaje fanyaje. Ni nyingi mno.