sikia ww kama hupendi hizo picha usituharibie sisi tunapenda acha watutumie tuangalie
sikia ww kama hupendi hizo picha usituharibie sisi tunapenda acha watutumie tuangalie
😂😂😂😂😂😂😂sikia ww kama hupendi hizo picha usituharibie sisi tunapenda acha watutumie tuangalie
Alafu ujinga zaidi ni kwamba huyo mtu unaemtumia hizo picha za utupu ni mtu wako na kila siku mnaonana utupu wenu sasa kama kila siku mnaonana utupu wenu na kila mmoja anajua wa mwenzie mnatumiana nudes za nini!! Naamini huu ni utoto wa hali ya Juu

Hilo ndo linashangaza zaid mtu unamjua nje ndani halaf bado unamtumia? Sasa kama anataka kukuwaza si afumbe macho aikumbeke maana anaijua
Nmefurah kukuona umerud kuwa na furahaAlafu ujinga zaidi ni kwamba huyo mtu unaemtumia hizo picha za utupu ni mtu wako na kila siku mnaonana utupu wenu sasa kama kila siku mnaonana utupu wenu na kila mmoja anajua wa mwenzie mnatumiana nudes za nini!! Naamini huu ni utoto wa hali ya Juu
Tena mwambie akiona wivu ajipige yeye ajitumie, Kama simu yake yashikwa ovyo Ni tatizo lake sie halituhusu, kiufupi asitupangiesikia ww kama hupendi hizo picha usituharibie sisi tunapenda acha watutumie tuangalie
Pinga pinga itakuwa wana Tisha Huko chini labda kiasi wakizipiga picha zinawaogopeshaBinadamu wanatofautiana sana kwenye mambo mbali mbali. Kulala nayo kuiona kila siku lakini bado kuna wengi tu wanapenda kuiona kwenye picha na wala si utoto wala ujinga. Wenyewe kama ni mke na mume au BF na GF wanafurahia tabia hiyo basi msiwaingilie kwenye maamuzi yao. Ya NGOSWE!!!!!.........
sikia ww kama hupendi hizo picha usituharibie sisi tunapenda acha watutumie tuangalie
Pinga pinga itakuwa wana Tisha Huko chini labda kiasi wakizipiga picha zinawaogopesha
Hahahahaha!dah,aya bhnaasikia ww kama hupendi hizo picha usituharibie sisi tunapenda acha watutumie tuangalie
Mtoa mada apunguze shobo na maisha ya watu, kwake kero kwetu starehe asitupe bughudha🤣🤣🤣🤣🤣unajua watu wana namna mbali mbali ya kuspicy up the love relationship na kwa wengine inaweza kuonekana ni kituko cha karne lakini kwa wahusika inawaongezea ukaribu wao na kuimarisha penzi lao hata kama ni mke na mume.