Ila wanaume ki ukweli wengi sio.( kwa wanawake tu)

Na hii mvua iliyonyesha leo, uchunguzi umeonyesha jamaa kashammimbisha demu mwingine.....

Kulaaleki jamaa lina kipaji sijapata kuona.
 
Na hii mvua iliyonyesha leo, uchunguzi umeonyesha jamaa kashammimbisha demu mwingine.....

Kulaaleki jamaa lina kipaji sijapata kuona.
possible babu maana halijaacha gemu na akiona condomu anazimia eti
 
Wewe unazani katika hao tisa hatutopata mbunge japo mmoja? think! smile think!
Hehehe...fellow tablet umenikumbusha..... jirani yetu mmoja enzi hizo alijitahidi kuzaa mitoto kumi na tatu..... Aliyefanikiwa kuliko wote ni mjumbe wa nyumba kumi!

Kazi ya vipaji hiyo.....
 
Hehehe...fellow tablet umenikumbusha..... jirani yetu mmoja enzi hizo alijitahidi kuzaa mitoto kumi na tatu..... Aliyefanikiwa kuliko wote ni mjumbe wa nyumba kumi!

Kazi ya vipaji hiyo.....

hehehe halaf uskute huyo balozi wenyewe ni bujibuji wa JF
 
Utafiti wa haraka haraka umebaini mtoto wa sita wa huyu kitombi amejifungua na Smile.....

Na wewe ni wale wale? wa unayajua hayo makitu? Yana test gani?
akuu babu kwa shida gani niliyonayo? mimi situmii vitu used mie
 
Sasa dada, yani huyo mmoja tu na manjonjo yake ndo amekuwa kiwakilishi cha wanaume wote mpaka ukatuona sote hatufai?
Hujatutendea haki.
 
huyo kaka alielewa mstari mmoja tu kwenye baibo

ila kwa mwanamme tegemea chochote
tene kizazi hiki cha dot com ndo kabsaaa

duh, bora hata awe na watoto 20 kuliko usikie anamegwa au anamega wanamme wenzie
hiyo inatisha sana na huwa hawaachi

watoto waweza pata hata prezidaa as long as baba yao ana adabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…