Mkuu naona unareport kutoka RORYA
Umeona haitoshi urudishe shukrani kwa kuwapost waliokulisha🤣🤣🤣Ndio mkuu nimepiga kichuri na nyama choma nimeshiba 🤣🤣🤣
Nimelia sana..Hakika mkuu sina jinsi🤣🤣
Usiku utafute pa kula na kulala.Hakika mkuu sina jinsi🤣🤣
Au ni nabii wa kanisa flan akiwa kwemye HUDUMA
Niwekee hela mezani nikupe show 🤣
Akithubutu kutingisha kichwa na kusababisha huo mguu kuteleza kichwani, hayo matofali hapo chini yatapasukia kichwani kwake.