Charles_nicholaus Senior Member Joined Nov 13, 2025 Posts 149 Reaction score 259 Jan 12, 2026 #1 Habari zenu jf-members! Duuh!, Hivi lile wazo la utotoni la kuoa/kuolewa na mzungu liliishia wapi?
M MONEY IS NOT EVERYTHING JF-Expert Member Joined Sep 11, 2024 Posts 1,420 Reaction score 1,953 Jan 12, 2026 #2 Charles_nicholaus said: Habari zenu jf-members! Duuh!, Hivi lile wazo la utotoni la kuoa/kuolewa na mzungu liliishia wapi? Click to expand... daaa ! Sijui liliishia wapi enzi za utoto nilitamani nifunge ndoa na Mhindi.Wahindi walinivutia kwasababu nilipenda sana kuangalia sinema zao.
Charles_nicholaus said: Habari zenu jf-members! Duuh!, Hivi lile wazo la utotoni la kuoa/kuolewa na mzungu liliishia wapi? Click to expand... daaa ! Sijui liliishia wapi enzi za utoto nilitamani nifunge ndoa na Mhindi.Wahindi walinivutia kwasababu nilipenda sana kuangalia sinema zao.
secretarybird JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 15,265 Reaction score 28,486 Jan 12, 2026 #3 Mimi nina asili ya kihindi ndiyo maana bibie aliekatakamba humutuu alining'ng'ania hadi nikamwoa.
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 46,378 Reaction score 127,570 Jan 12, 2026 #4 Sasa wazo la kuolewa na wazungu ulikua nalo wewe halafu unatuuliza sisi liliishia wapi?
Charles_nicholaus Senior Member Joined Nov 13, 2025 Posts 149 Reaction score 259 Jan 12, 2026 Thread starter #5 secretarybird said: Mimi nina asili ya kihindi ndiyo maana bibie aliekatakamba humutuu alining'ng'ania hadi nikamwoa. Click to expand... mbongo lazima ang'ang'anie wahindi, wazungu na waarabu bro.
secretarybird said: Mimi nina asili ya kihindi ndiyo maana bibie aliekatakamba humutuu alining'ng'ania hadi nikamwoa. Click to expand... mbongo lazima ang'ang'anie wahindi, wazungu na waarabu bro.
Charles_nicholaus Senior Member Joined Nov 13, 2025 Posts 149 Reaction score 259 Jan 12, 2026 Thread starter #6 min -me said: Sasa wazo la kuolewa na wazungu ulikua nalo wewe halafu unatuuliza sisi liliishia wapi? Click to expand... nilitaka kuoa sio kuolewa bro na nimeulza kwenu kujua kama tulikuwa wengi wenye wazo hilo
min -me said: Sasa wazo la kuolewa na wazungu ulikua nalo wewe halafu unatuuliza sisi liliishia wapi? Click to expand... nilitaka kuoa sio kuolewa bro na nimeulza kwenu kujua kama tulikuwa wengi wenye wazo hilo
Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 23,877 Reaction score 31,642 Jan 12, 2026 #7 Charles_nicholaus said: mbongo lazima ang'ang'anie wahindi, wazungua na waarabu bro. Click to expand... Chai
Charles_nicholaus said: mbongo lazima ang'ang'anie wahindi, wazungua na waarabu bro. Click to expand... Chai
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 46,378 Reaction score 127,570 Jan 12, 2026 #8 Charles_nicholaus said: nilitaka kuoa sio kuolewa bro na nimeulza kwenu kujua kama tulikuwa wengi wenye wazo hilo Click to expand... Likaishia wapi sasa?
Charles_nicholaus said: nilitaka kuoa sio kuolewa bro na nimeulza kwenu kujua kama tulikuwa wengi wenye wazo hilo Click to expand... Likaishia wapi sasa?
secretarybird JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 15,265 Reaction score 28,486 Jan 12, 2026 #9 Charles_nicholaus said: mbongo lazima ang'ang'anie wahindi, wazungua na waarabu bro. Click to expand... Si wabongo wote mkuu bali baadhi ya mabinti kama huyu niliyemwoa. Yaani Kuna kipindi huyu binti aliekatakamba humutuu alikaribia kumeza sumu kisa sipokei simu yake.
Charles_nicholaus said: mbongo lazima ang'ang'anie wahindi, wazungua na waarabu bro. Click to expand... Si wabongo wote mkuu bali baadhi ya mabinti kama huyu niliyemwoa. Yaani Kuna kipindi huyu binti aliekatakamba humutuu alikaribia kumeza sumu kisa sipokei simu yake.
Charles_nicholaus Senior Member Joined Nov 13, 2025 Posts 149 Reaction score 259 Jan 12, 2026 Thread starter #10 min -me said: Likaishia wapi sasa? Click to expand... kuwa ndoto tuuh.
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Jan 12, 2026 #11 Mimi kwakweli halijaisha. Mzungu yoyote akijichanganya ninae.
Charles_nicholaus Senior Member Joined Nov 13, 2025 Posts 149 Reaction score 259 Jan 12, 2026 Thread starter #12 Husninyo said: Mimi kwakweli halijaisha. Mzungu yoyote akijichanganya ninae. Click to expand... pambana kaka nakuombea.
Husninyo said: Mimi kwakweli halijaisha. Mzungu yoyote akijichanganya ninae. Click to expand... pambana kaka nakuombea.
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Jan 12, 2026 #13 Charles_nicholaus said: pambana kaka nakuombea. Click to expand... Intelligent businessman ona huyu
Charles_nicholaus Senior Member Joined Nov 13, 2025 Posts 149 Reaction score 259 Jan 12, 2026 Thread starter #14 Husninyo said: Intelligent businessman ona huyu Click to expand... kafanya nini tena
A aliekatakamba humutuu JF-Expert Member Joined Feb 1, 2024 Posts 1,047 Reaction score 1,668 Jan 12, 2026 #15 secretarybird said: Si wabongo wote mkuu bali baadhi ya mabinti kama huyu niliyemwoa. Yaani Kuna huyu mume wangu amekunywa sumu kwaajili yangu mimi malaya[/B] [/QUOTE] sijafa lakini? Click to expand...
secretarybird said: Si wabongo wote mkuu bali baadhi ya mabinti kama huyu niliyemwoa. Yaani Kuna huyu mume wangu amekunywa sumu kwaajili yangu mimi malaya[/B] [/QUOTE] sijafa lakini? Click to expand...
Raymanu KE JF-Expert Member Joined Jan 20, 2022 Posts 10,162 Reaction score 18,847 Jan 12, 2026 #16 Kiukweli Mimi binafsi sijawahi kuwa na hayo mawazo ya kuona na mzungu😅
Charles_nicholaus Senior Member Joined Nov 13, 2025 Posts 149 Reaction score 259 Jan 12, 2026 Thread starter #17 Raymanu KE said: Kiukweli Mimi binafsi sijawahi kuwa na hayo mawazo ya kuona na mzungu Click to expand... bora yako
Raymanu KE said: Kiukweli Mimi binafsi sijawahi kuwa na hayo mawazo ya kuona na mzungu Click to expand... bora yako
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 44,068 Reaction score 95,673 Jan 12, 2026 #18 Husninyo said: Intelligent businessman ona huyu Click to expand... Hajajua we pisi kalee
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 46,378 Reaction score 127,570 Jan 12, 2026 #19 Husninyo said: Mimi kwakweli halijaisha. Mzungu yoyote akijichanganya ninae. Click to expand... Mhmmm
Husninyo said: Mimi kwakweli halijaisha. Mzungu yoyote akijichanganya ninae. Click to expand... Mhmmm
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Jan 13, 2026 #20 Intelligent businessman said: Hajajua we pisi kalee Click to expand... Pisi halafu ananiita kaka kweli. Nimekukabidhi umpe adhabu.
Intelligent businessman said: Hajajua we pisi kalee Click to expand... Pisi halafu ananiita kaka kweli. Nimekukabidhi umpe adhabu.