Bora hata wao kuna wawili wenye akili sisi huku wote ni mambumbumbuWajinga sana hawa Utonyoko.
Usiwatilie maanani hawa vyura, level yao hawa ni Kizimkazi tu kwenye kombe la urojo basi.Mmelishupalia suala la Simba kucheza mechi ya fainali kwenye uwanja wa Amani utafikiri nyie ndio Berkane. Hangaikieni mambo yenu. Mnafanya hivi kwa kufahamu nguvu ya Mnyama akiwa kwa Mkapa.
Oneni aibu