Fornicators wote motoni haijalishi body count wala malayaYah sio issue kwa malaya.
Ngoja niwape elimu hawa watoto, mtu akishakuwa malaya hawezi kujali khs body count mana ndio kazi yake.Mkuu mbona unapiga kichwani, are you yanga.?
Au sio.Fornicators wote motoni haijalishi body count wala malaya
Binafsi usaliti siwezi vumilia kabisa hasa kwa mwanamke naemtizamia kama mke. Yani nikisikia "nywi nywi nywi" kaisha.Daah,.
Even for once??
Thanks anyways..
Tatizo unambwembwe sana mdogo wangu na uongeze usiriIla kuachwa umri huu..
Na mbwembwe zote zile za kuandika na Uzi,. Ukiachana na kujimaliza WhatsApp statuses,. Ndugu na jamaa na marafiki,. Mliokua single nlikuwa nawaona hamna akili sawasawa,. Aaah Leejay mbwa Mimi kiko wapi sasa
Sio Tu kuachwa ni kudhalilikaaa,. Hakii nimevuliwa nguoπ€Έπ€Έ,.
Pombe hazileweshi sijui nijaribu bangi
(Ok nilicheat ndiomaana nimeachwa),. Sa ningefanyaje Mxiiewww
Anyway anaejua kurudisha Instagram Account bila access ya phone number anisaidie
Asikumbuke kitu? USALITI? Haiwezekanii.Em nipasie huyo mtalamu afanye asikimbuke kitu,. Tuendelee tulipoishiaπ
Umepiga kichwani tena. Ataaasssa ataasssaa ataassssaaa πNgoja niwape elimu hawa watoto, mtu akishakuwa malaya hawezi kujali khs body count mana ndio kazi yake.
Ila waja, khaaah πππππUmevuna ulichopanda,, je unauza shingapi kwa usiku mmoja?
Sometimes eehBody count is not an issue sometimes
Mwayaa hapa nitakupinga, Usaliti wa mapenzi unatokea kwa makusudi na sababu, hauna bahati mbayaa..Haikua intentionally,.
Sema ndio hivyo Maumivu
Ila watu wa sudan tandika mnapenda shirki sanaπKumbe kosa ni lako ndo maana umeachwa mlongo, hapo pambana mwayaa.
Ingekua vinginevyo, ningekupasia mganga konkii, ex shem angekufata kukuomba msamaha huku akiwa anatambaa km mtoto wa miezi 9.
πππππ
πππππIla watu wa sudan tandika mnapenda shirki sanaπ