Ila haka kawimbo katamu jamani

Jirani umekosa mtu wa kumdedicate haka kanyimbo?..Nilitegemea kuona tag pale chini..
Huyo special person yuko kwenye mabano jirani muda ukifika nitafungua mabano[emoji28]
 
bila video mkuu?
 
Ila wewe unaonekana ni muungwana huna kawaida ya kula nauli ya mtu ausio!! .
Mi sio muungwana kihivo,nishawahi kula nauli ya mtu ila mwisho wa siku tulisawazisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…