Senator jr
JF-Expert Member
- Apr 3, 2016
- 368
- 498
Wao wanauzia sure punda
Kweli mkuu, ila hao vijana wamefikia zaidi na wamechanganya akili zao na kumkodi huyu mwenye gari.. nae amepata za mafuta na kujikimu !!....Lakini halikuundwa kwa lengo hilo
Mkuu, huko kwenye ardhi yenye rutuba INDIA!! vijana wamejiajiri....Wapi hii
Dah kwa Tanzania hasa wa chips boys city huwezi kuwaona wakijibidiisha hiviMkuu, huko kwenye ardhi yenye rutuba INDIA!! vijana wamejiajiri....
Mkuu, itakuja wakati hapatakuwa na namna.. lazima tutajituma tu !! life inazidi kubana!!Dah kwa Tanzania hasa wa chips boys city huwezi kuwaona wakijibidiisha hivi
Kweli mkuu Zamiluni Zamiluni. No wei autiMkuu, itakuja wakati hapatakuwa na namna.. lazima tutajituma tu !! life inazidi kubana!!