Ila bodaboda wana viherehere sana

duh gari ya mbowe kama JEEP hivi

Mleta mada amechanganya mambo, hio picha ilikua ni msafara wa Diamond platinum wakitoka mwanza airport na kuzunguka mjini kabla ya tamasha la Jembe fm.
 
lumumba bana ushakamata wenzio wenye ka ubongo mb 128 kama ka kwako na picha ya diamond wao wanakurupuka tu na kuanz ku coment kazi mnayo had nafas zile za fadhira zije kwisha mtakuwa mmenyukana sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…