IKULU za Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

IKULU za Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mmakonde, Jul 18, 2011.

 1. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2011
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Juzi tumeona Kaka wa Rais anafunga ndoa kwenye IKULU ya Bagamoyo.
  Nikajiluliza Tz tuna Ilkulu ngapi?

  Wakati wa Mwalimu ,nilikuwa nasikia Ikulu ndogo ya Chamwino,sikuwahi kusikia IKULU ya Butiama,zaidi ya kuwa nyumbani kwa Mwalimu.

  Sasa najiluliza lini Bagamoyo kuwe na IKULU,rather nyumbani kwa rais?

  Je Mwniyi alikuwa na ikulu kwao alipozaliwa?
  Mmakonde mwenzangu MKAPA wapi?

  Samuel Sitta eti naye ana ofisii ya Spika kwao URAMBO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  Najiluliza waTz tunaelekea wapi?Hakuna mtu wa kusema enough is enough?
  Taxpayers money zinaliwa ovyo wakati watoto wetu wako ovyo ovyo huko vijijini?
   
 2. F

  FUSO JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 10,455
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  ndiyo magamba yenyewe haya tunatakiwa kuyakoboa.... kazi pevu, zoezi ni ngumu 'cause mengie hayatoki.
   
 3. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,607
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  dawa ni kuwaua nyoka wote si kusubiri mpaka wajivue magamba tutaumia sana watz
   
 4. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #4
  Jul 18, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,094
  Likes Received: 398
  Trophy Points: 180
  Hapo mme mmpa ikulu ******, ngoja aingie mzaramo, mdundiko kila siku
   
Loading...