CAMARADERIE
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,419
- 1,929
Ray C naona vinywele viko vagalanti, kweli unga ni ujinga.
Mwenzake Langa kisha rudi tena kwenye kujidunga
Ray C naona vinywele viko vagalanti, kweli unga ni ujinga.
Mwenzake Langa kisha rudi tena kwenye kujidunga
rais wa watu!
Umanitangulia ndg yangu, yaani Tanzania inazidi kuongeza kumbux2Mla unga? Teja? Ikulu?badala ya jela?nchi hii bwana!!fisadi ni muungwana!mwizi ni shujaa!mwasherati ni kiongozi mahiri!TEJA ni mgeni mashuhuri wa ikulu!!!ikulu hakunaga kazi za kufanya?sababu kama mkulu asingepata ugeni huo mkubwa ungeskia yuko zake kulee anakopendaga kwenda.
Habari ndio hiyo, nilimuona juzi nikatamani kulia.Acha wee...ya kweli hayo? Isaac atalia kwa jinsi alivyohangaika naye..
Habari ndio hiyo, nilimuona juzi nikatamani kulia.
Rais anasapoti wabwiaji?
Msanii wa Kizazi Kipya hapa nchini ,maarufu kama Bongo Flavour, Bi Rehema Chalamila anaejulikana zaidi kama Ray C, jana mchana amefika Ikulu ya Dar-Es-Salaam kumshukuru Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa msaada mkubwa wa matibabu yake ambayo yanafanyika jijini Dar-Es-Salaam chini ya uangalizi maalum.
.