Z Zygot JF-Expert Member Joined Apr 14, 2016 Posts 2,316 Reaction score 3,120 Feb 25, 2023 #41 Luhanjo karudi na ajenda ile ile na watu wale wale. Kikwete anajua na anaona. Samia yupo anaona labda hajui, lakini tunasikia kila kitu anaelekezwa. Yuko bisze na miradi ya familia.
Luhanjo karudi na ajenda ile ile na watu wale wale. Kikwete anajua na anaona. Samia yupo anaona labda hajui, lakini tunasikia kila kitu anaelekezwa. Yuko bisze na miradi ya familia.