Ikulu yamtetea Prosper Mbena


wabunge wengi huwa wanazungumza kwa sifa tu lakini ukiwaambia walete viambatisho au uthibitisho usikuwa na shaka mavi debe wanajivunia ile kinga ya bunge kuongea hata ujinga usiokuwa na maana.
 
...ikulu iliyokaliwa na wezi lazima wateteane....ndio maana hatua mpaka sasa hatua hazijachukuliwa kwa wezi....watanzania wanaona na wanasubiri....
 
mheshimiwa spika,waheshimiwa wabunge na wananchi,mimi sio profesa mwongo kama alivyosema mheshimiwa mmoja ,mimi ni profesa wa miamba au geology,nimefanya kazi unesco na juzi nilikuwa south africa kwenye mkutano wa maprofesa bingwa wa miamba duniani
 
Hizo taarifa zinaibuliwa na wafanyakazi wa Ikulu ambao wanaona uchungu nchi yao inavyokuwa ripped off. Nyaraka zote wanatupa wao, sisi ni ujasiri tu wakuzisimamia.
 

nimepapenda penye rangi nyekundu
 
Rais mwenyewe mtuhumiwa ya epa ilianzia Mwembeyanga sio bungeni sijaona mtu kushitakiwa zaidi ya watuhumiwa wachche kupelekwa hahakamani.
 

sema kama na wewe ulipata mgao maana naona unatokwa na povu hatari. kila nyaraka au vidhibitisho vya ukawa ni kweli tupu. subiri hii escrow bado haijaisha.
 
bogus statement from bogus chaps....wamuache ahojiwe achunguzwe then vyombo husika vitamin clear from this scandle..wale wale wakina ole naiko eti nilikuwa sijui Kama nimeingiziwa 40m..so pathetic
 


Soma hapo kwenye nyekundu; kwa IKULU ya hawa wakwere ni wajinga kiasi kwamba wanakula bila kunawa hivyo ndio maana wanaacha paper trail ya wizi wao!!


 
Tunazunguuuuukaaaa weeeee lakini UKWELI ni kwamba Jeikei ndiye mwizi wetu, basi tu watz tu ma.bwe.ge. sana vinginevyo angeshang'oka
 
Na hii ni ripoti ya Ukaguzi. Hawawezi kuandika humo kwamba barua iliaandikwa toka kwa Mbena bila kwanza kuiona barua hiyo na kumhoji huyo Mbena mwenyewe. Kama hayo hayakufanyika then this audit was another sucker.
Mkuu taarifa ya ukaguzi haikamiliki bila viambatanisho. Ndo maana kuna lijikitabu lizima la viambatanisho peke yake. Haiwezekani BoT watoe mijihela yote hiyo kwa barua famba. Ikulu yetu imekuwa na watu waongo waongo watakanusha hata vitu vilivyo wazi kabisa.
 
Kwa nini Ikulu isivifungie vyombo vya habari vinavyopotosha mambo? si sharia inaruhusu.
 

Kawashtaki kama wametengeneza vya kughushi
 
Sidhani kama hawa jamaa ni waongo tu! Huu ni mkakati maalum wa wizi, dhuluma na kisha wanalindana. Watu waliwahi kulalamika kwamba ikulu imehusika katika kipigo cha Dr Ulimboka lakini hata bila kuchunguza ukweli wa taarifa hizo nikamwona Bwana mkubwa akiongea kwenye TV (na tabasamu kky) "Ikulu impige Ulimboka kwa lipi?" Na huo ndio ulikuwa mwisho wa tuhuma zile. Nimebaki na maneno ya Mwalimu - "Ikulu ni mahali patakatifu ……….." No longer the case.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…