Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,837
Kuanzia wiki kijayo Dr.Pombe Magufuli anahamia Hapa kwenye vila hapo chini! Asiyetaka ahame nchi ndiyo hivyo tena hamna jinsi!
Ikulu hii Ikulu hii!!
CCM MBELE KWA MBELE
Makazi mapya ya Lowassa hayo,jumba jeupe nywele nyeupe.
Hadi raha!
Kuanzia wiki kijayo Dr.Pombe Magufuli anahamia Hapa kwenye vila hapo chini! Asiyetaka ahame nchi ndiyo hivyo tena hamna jinsi!
Makazi mapya ya Lowassa hayo,jumba jeupe nywele nyeupe.
Hadi raha!
Kama unampenda, basi nenda ukanywe chai na mumuwake nifah
Ana kiherehere sana...anakaribishwa gahawa hapa kwa wazee wa pwani, jumatatu jioniHahahahaaa popoma bwana?Sasa mumu wangu kakosea nini jamani?