Ikulu ya mwanza iko chini ya chadema

Ikulu ya mwanza iko chini ya chadema

kenyamanyori

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2014
Posts
734
Reaction score
327
Matokeo ya uchaguzi wa Serikali za mitaa - Mtaa wa Nyamagana yameiweka Ikulu ya Mwanza Chini ya uongozi wa Chadema. Sasa viongozi hao wanatafakari jinsi ya Ikulu hiyo kuchangia mapato mengi kujenga barabara na miundombinu ya Kapripoint ili kuifanya ilingane na hadhi ya Ikulu.
 
Siyo mara ya kwanza Ikulu ya Mwanza kuwa chini ya upinzani mwaka 2000 Diwani wa eneo ilo likiitwa Nyamagana alitokea UDP.
 
Vipi mkuu Ritz ndio unaamka saa hizi baada ya kulishwa viroba pale Lumumba, jana usiku? Nasikia mtaa wako upo chini ya Ukawa. Nakuona umekuwa myonge sana hata kwenye kupost unapost kiadabu adabu.
 
Afadhali bado upo jukwaani ili ushuhudie wanakondoo walivyo hawaelewi. Mshiko, sukari, chumvi, T-shet, kofia, vitenge wamekomba halafu wanawasaliti.
Nilidhani ushakimbizwa India kwa matibabu zaidi
 
Vipi mkuu Ritz ndio unaamka saa hizi baada ya kulishwa viroba pale Lumumba, jana usiku? Nasikia mtaa wako upo chini ya Ukawa. Nakuona umekuwa myonge sana hata kwenye kupost unapost kiadabu adabu.
Mimi sina tatizo mtaa wangu siku zote upo chini ya upinzani, nadhani haumjui vizuri Ritz.
 
Karibu sana ukawa ndio pamekucha tunakwenda kusambaratisha wezi wote wa ccm
 
Arusha jiji ni la cdm ccm ni vibaka hapa wanakaa kwa akili sana na viuwizi vidogo vidogo...wanaiba kura kizamani sana hawa...
 
pingamizi za kishetan zimeiokoa ccm kwenye kifo

Hivi wanadhubutu vipi kusema wamepita bila kupigwa kwanini wao hawajapigwa wamepita bila kupinga imekuwa ndoa au wajichekeshe tu ila moto unakuja!
 
Siyo mara ya kwanza Ikulu ya Mwanza kuwa chini ya upinzani mwaka 2000 Diwani wa eneo ilo likiitwa Nyamagana alitokea UDP.
Wewe pimbi wa ccm ulikuwa wapi, umeona athari za uwizi na ukandamizaji wa ccm na jinsi wananchi wameamua kuwatosa? Kama uchaguzi ulio pita mlipata 90% ktk huu wa sasa hata 75% itakuwa ngumu.
 
Back
Top Bottom