GanjaPlanter
Senior Member
- May 27, 2014
- 117
- 119
Lete ushahidi,sio story za kijiweni hapa
Lete ushahidi,sio story za kijiweni hapa
ushahidi wa namna gani?
ushahidi wa namna gani?
We popo kweli yaani dada zetu wanavyotwangwa na wakurugenzi huoni?Lete ushahidi,sio story za kijiweni hapa
Hapo nimekuelewa, kuwa Flora alihonga ngono ili apate uchungaji Kisha akanogewa!!!!!??. Mind you, wadada hupenda sana kuhonga ngono huku wamama wakiomba rushwa ya ngono kwa wavulana.Dah wadada zetu pole hata lile sakata la flora mbasha ni kwa sababu ya michepuko
Namshangaa anadai ishaidi wakati mpaka mawaziri wapo wenye hizo tabia.
Wanafuata nyayo za mkuu wao kwani huoni vimwana walivyojaa huko kwenye UDC!!!
Gazeti la Tanzania Daima Ijumaa Juni 27 linaripoti kuwa Ikulu ya Tanzania imethibitisha kukithiri kwa rushwa ya ngono Serikalini hususani katika kupata ajira.
Hii ni kusema asilimia kubwa ya wadada wanaopata kazi Serikalini wamepitiwa na maofisa waajiri au walio jirani na ofisi bila ridhaa yao. Huu nao ni ubakaji sijui!? Kuna wanaopitiwa kingono na kazi hawapati. Kuna wanaoombwa na wanaojipmbesha wakidhani itawasaidia kupata ajira.
ushahidi wa mtu akiwa anabanduliwa na afisa muajiri huko serikalini na pia ushahidi wa picha mtu akiwa anaingiza kabisa tuone na kujiridhisha kuwa ni kweli rushwa imefanyika ..na pia chukua picha ya usoni ya binti tuone kabisa kama anabakwa au anafumba macho kusikilizia vitu ....kama anafumba macho basi na kutoa miguno ya kimahaba hapo hakuna rushwa ni watu wanaburudishana baada ya kazi nzito ya kulijenga taifa hili changa la Tanzania....
Gazeti la Tanzania Daima Ijumaa Juni 27 linaripoti kuwa Ikulu ya Tanzania imethibitisha kukithiri kwa rushwa ya ngono Serikalini hususani katika kupata ajira.
Hii ni kusema asilimia kubwa ya wadada wanaopata kazi Serikalini wamepitiwa na maofisa waajiri au walio jirani na ofisi bila ridhaa yao. Huu nao ni ubakaji sijui!? Kuna wanaopitiwa kingono na kazi hawapati. Kuna wanaoombwa na wanaojipmbesha wakidhani itawasaidia kupata ajira.
Lisemwalo lipo na kama halipo basi linakuja. Unajua Tanzania tunashindwa kufanya maamuzi magumu kwa hizi kauli zenu za kutuambia tulete ushahidi. Hivi unafikili watu wanatunga au? Mimi nakubali kwamba hapa duniani ukitenda ubaya unalipwa ubaya hapahapa, hivyo kama unataka ushahidi subiri ndugu yako au mtoto wako hafanyiwe hivyo ndiyo utajua dunia inakwendaje.
Fanya uchunguzi na chukueni hatua sio mambo ya kuwaamisha wanao fanya makosa.
Analilia ndani ya miwani?
Si alijinadi kuwa ana kisomo cha kutosha?
Hivi naye huyu kazaliwa na mkulima?