Henge JF-Expert Member Joined May 14, 2009 Posts 6,933 Reaction score 1,514 Jan 15, 2011 #281 Gurudumu said: Hivi huwa kazi yake, kikatiba, ni nini? Kuna wakati anatoa amri Kama amiri jeshi mkuu! Click to expand... Mkuu ulitaka afanyeje kama aliepaswa kutoa amri hizo kashindwa! Msimuonee tuu huyu jamaa Unga bwana na muhimu kwa watoto wake. na kwani yeye anapenda kufa???
Gurudumu said: Hivi huwa kazi yake, kikatiba, ni nini? Kuna wakati anatoa amri Kama amiri jeshi mkuu! Click to expand... Mkuu ulitaka afanyeje kama aliepaswa kutoa amri hizo kashindwa! Msimuonee tuu huyu jamaa Unga bwana na muhimu kwa watoto wake. na kwani yeye anapenda kufa???
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,342 Reaction score 10,686 Jan 15, 2011 #282 Kituko said: naona leo unaye Salva Click to expand... amemuota usiku nahisi. Ila sio vibaya tukipata habari za huyu jamaa. Si unajua jf tuna uhuru wa kuongea chochote bila kukwazana lakini.
Kituko said: naona leo unaye Salva Click to expand... amemuota usiku nahisi. Ila sio vibaya tukipata habari za huyu jamaa. Si unajua jf tuna uhuru wa kuongea chochote bila kukwazana lakini.
Joseph JF-Expert Member Joined Aug 3, 2007 Posts 3,518 Reaction score 1,090 Jan 15, 2011 #283 Huyu jamaa huwa kila nikimuona kwenye tv huwa najisikia kichefuchefu maana hana la maana ambalo huwa anaongea zaidi ya pumba.
Huyu jamaa huwa kila nikimuona kwenye tv huwa najisikia kichefuchefu maana hana la maana ambalo huwa anaongea zaidi ya pumba.
HeartBreak JF-Expert Member Joined Apr 21, 2008 Posts 346 Reaction score 29 Jan 15, 2011 #284 kama dowans feki....basi bunge letu nalo litakuwa feki kama dowans walipwa
G Gad ONEYA JF-Expert Member Joined Oct 26, 2010 Posts 2,629 Reaction score 172 Jan 15, 2011 #285 Mpandie huko huko!
G Gad ONEYA JF-Expert Member Joined Oct 26, 2010 Posts 2,629 Reaction score 172 Jan 15, 2011 #286 Huu ndio usomi wetu! Kwa majibu haya, kweli common sense is not so common.