Utakaposikia baada ya uchaguzi viongozi wa kikundi cha UKAWA wanalalamika wakisema wameibiwa kura ndiyo utapata majibu ya swali yako.
CCM hatufanyi siasa za kupiga kelele.
Uchaguzi ni sayansi katika kupata matokeo chanya.
Baada ya uchaguzi utafahamu maana ya comment yangu.
Watu wa aina yako mnalinganisha kampeni za kikundi cha UKAWA na CCM.
Viongozi wote wakuu wa kikundi cha UKAWA na genge la Lowassa wanakusanyika katika jukwaa moja kwa kila siku.
They know what is happening. hawataki kuendelea kupata aibu
Wapi Makongoro Nyerere, Samwel Sitta, Harrison Mwakyembe, Asha Rose Migiro, Sofia Simba, Sofia Simba, Vuai Ali Vuai, Nape Nauye, Amina Makilagi, Lazaro Nyalandu, Ummy Mwalimu, Livingstone Lusinde, Bernard Membe, Pindi Chana, Stephen Masele, Maua Daftari, Shamsi Vuai Nahodha, na wengineo?
Mbona siwasikii?
Utakaposikia baada ya uchaguzi viongozi wa kikundi cha UKAWA wanalalamika wakisema wameibiwa kura ndiyo utapata majibu ya swali yako.
Utakaposikia baada ya uchaguzi viongozi wa kikundi cha UKAWA wanalalamika wakisema wameibiwa kura ndiyo utapata majibu ya swali yako.
CCM hatufanyi siasa za kupiga kelele.
Uchaguzi ni sayansi katika kupata matokeo chanya.
Baada ya uchaguzi utafahamu maana ya comment yangu.
Watu wa aina yako mnalinganisha kampeni za kikundi cha UKAWA na CCM.
Viongozi wote wakuu wa kikundi cha UKAWA na genge la Lowassa wanakusanyika katika jukwaa moja kwa kila siku.
Huyo anasumbuliwa na mob psychology hapa jukwaani.Mkuu huwa napitiaga mada zako za elimu ya kiroho nikadhani unajitambua kumbe mweupe kabisa, hahaaaaaa
Utakaposikia baada ya uchaguzi viongozi wa kikundi cha UKAWA wanalalamika wakisema wameibiwa kura ndiyo utapata majibu ya swali yako.
CCM hatufanyi siasa za kupiga kelele.
Uchaguzi ni sayansi katika kupata matokeo chanya.
Baada ya uchaguzi utafahamu maana ya comment yangu.
Watu wa aina yako mnalinganisha kampeni za kikundi cha UKAWA na CCM.
Viongozi wote wakuu wa kikundi cha UKAWA na genge la Lowassa wanakusanyika katika jukwaa moja kwa kila siku.
Sumaye ambaye walikuwa wanasema ni zero ndani ya CCM amewaambia kikundi cha UKAWA hawana uwezo wa kupambana na CCM, ndiyo maana ameenda kuwasaidia. Kudhibitisha hoja yake kwa sasa amekuwa ndiyo big gun wa kikundi cha UKAWA, kwa maana nyingine, eti mategemeo ya ushindi yatapatikana kwa hoja za Sumaye. My left foot.Mkuu kaa kimya usiyashtue hayo manyumbu usingizini, mda si mrefu yataanza chinjana yenyewe.
Juzi nimemuona kwenye TV nimepata hadi huruma alivyozeeka ghafula.Kumbe vyeo kwa baadhi ya watu ni ugonjwa.Wassira amebanwa,mbavu na Estar hana habari na Makufuli ten
Moja ya fikra za vijana wa bavicha ni kudhani wanawafahamu wanaJF wote.Baada ya uchaguzi jimbo la mtama litakuwa ndani ya himaya ya UKAWA.
Wewe utakuwa unaendeleza 'uvuvuzela' kama kawaida yako.
Moja ya fikra za vijana wa bavicha ni kudhani wanawafahamu wanaJF wote.
Kama kuongea ni kupata ushindi, nadhami kwa sasa vyama vya upinzani vingekuwa madarakani. Siasa za kwenye keyboard/keypad.
Kama unalala ukidhani Jimbo la Mtama linaweza kuchukuliwa na wapinzani, inabidi ukamuone daktari wa magonjwa ya akili!
Kawaulize viongozi wa kikundi cha UKAWA! Sorry.Kwa hiyo kwa sasa wanapiga mikakati ya wizi wa kura?
Kama hiyo ni hoja yako, nadhani unawaambia wapinzani ni wajinga na wapumbavu kwa sababu wanaenda kwenye uchaguzi wakati wanafahamu wataibiwa kura zao.Mtaiba kama kawaida yenu?
Hivi mlishawahi kuwaza kufanya uchaguzi wa huru na wa haki?
Bila fitna mnajua uchaguzi hamtoki.
Utakaposikia baada ya uchaguzi viongozi wa kikundi cha UKAWA wanalalamika wakisema wameibiwa kura ndiyo utapata majibu ya swali yako.
CCM hatufanyi siasa za kupiga kelele.
Uchaguzi ni sayansi katika kupata matokeo chanya.
Baada ya uchaguzi utafahamu maana ya comment yangu.
Watu wa aina yako mnalinganisha kampeni za kikundi cha UKAWA na CCM.
Viongozi wote wakuu wa kikundi cha UKAWA na genge la Lowassa wanakusanyika katika jukwaa moja kwa kila siku.
Huyo anasumbuliwa na mob psychology hapa jukwaani.