Iko wapi NETO?

Iko wapi NETO?

Viongozi waliitwa Dodoma wakainhia mitini, walianza kuwindwa wakakamatwa huko geita wakapotea.
 
Viongozi waliitwa Dodoma wakainhia mitini, walianza kuwindwa wakakamatwa huko geita wakapotea.
Kwa walimu hawa . Waliopewa vishkwambi vya kichina
Hakuna namna wanaweza kudai chochote
 
Hitaji lao halikuwa kubadilisha mifumo bali kuoata ajira. Wakipata wananyamza
Waliitwa Dodoma wazungumze na Simbachawene hawakujitokeza, wakaanza kutafutwa viongozi wakadakwa huku Geita Neto ikafa, hata ajira hawakupata.
 
Back
Top Bottom