Iko wapi elimu yetu ya 1990-2005?

Umeuliza swali la msingi sana mkuu, lakini kuna mtu anasema huwezi kuongelea elimu kwa paragraph nne, yeye hajawahi kuongelea hiyo elimu hata kwa sentensi moja na pia hajakatazwa kuandika paragraph mia.Vichwa vya binadamu wengine utadhani sehemu ya ubongo yeye kawekewa uji wa mhogo.Watu wanaajiriwa wakiwa na degree lakini hata kupanga anwani tatu za barua ya kikazi hawezi.Product ya degree inazidiwa na darasa la saba la miaka hiyo.Maswala ya ubora ni mbali kabisa na idadi ya shule, vitu na watu katika elimu.Ubora ni ubora wingi ni wingi.Mleta mada anaongelea ubora si wingi.
 
Class tree ndio nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sahihi kabisa

👊👊👊👊
 
Wakuu mm niulize kitu kimoja hivi kama KKK weli hiyo elimu ya kuanzia 1990s mpka2000 ilkuwa bora au kurudi huko nyuma products yake imefanya mapinduzi gani Tanzania kwenye uchumi,siasa,mamboo ya kijamii na mengne?.

Leo hii bado tunasumbuka na kipindu pindu kwenye jamii yetu,mm nipo mkoa wa Tanga ipo sehemu moja nimeona wanashida ya majipaka unawahurumia lakini mvua zinanyesha kila msimu ,hakuna fikira ya kisomi imewahi kufikiri namna ya kuvuna hayo maji mengi yanayotirirka na kuelekea baharini na kuya fanya watu wakayatumia kwenye irrigation hakuna.

Unasemaje kuna elimu bora ilitolewa tofauti na sasa kama tumeshindwa kutatua changamoto tulizo nazo za kila Sikh?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Mitaala ya 2006 -- 2020 aliitengeneza aliyezaliwa 2015?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…