Ikiwa mtu ana shari na wewe kisha akakuita kibabe kwenye mahojiano, ukienda chukua tahadhari zifuatazo:

Usiwe wa kwanza kurusha ngumi.Fanya kila jinsi uwe wa mwisho kurusha ngumi, realistically or metaphorically.
 
Ndio yeye aliesema kile Sijui nini nini hakina dira afu akaitwa Dodoma?

Ardhi imehifadhi Miamba Kweli Kweli

Jana nilikuwa Pia nakumbuka Majaji wa zamani Kama Kina Mwalusanya Na Nixon Chipeta nikalinganisha Na Hawa wa sasa nikasema the rest is history Kweli
 
Back
Top Bottom