BekaNurdin
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,267
- 2,041
Ikiwa mtu ana shari na wewe kisha akakuita kibabe kwenye mahojiano, ukienda chukua tahadhari zifuatazo:
1. Wakati wa kusalimiana hakikisha usigusane na mtu au watu hao, transfer ya nguvu za kiroho (-ve au +ve) ni effective sana kwa kugusana
2. Kiti ulichowekewa kukalia kikwepe
3. Maiki uliyowekewa kutumia ikimbie
4. Maji ya kunywa, chai, vitafunwa, nk. ulivyowekewa usitie mdomoni
5. Muda wote hakikisha uko na mlinzi unayemwamini
Yangu ni hayo tu na kama kuna mwenye nyongeza atupie!