Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,928
Kuna Mtabiri mmoja alisema Tanzania hivi karibuni tu atakuja Mwanamke... malizia !!Haitakuja kutokea
Wataalamu,
Naomba kueleweshwa kwa jambo hili, ikitokea nchi yetu tukapata rais mwanamke, je mme atakuwa anaogozana na mke wake? Na kama ni mfanyakazi ataacha kazi ilikuwa karibu na rais?
Nimeuliza kwa nia ya kueleweshwa maana hapa ndani kuna wataalamu wazuri wa mambo mbalimbali.
Nawasilisha kwenu wakuu.
Kwani kwa sasa makamu wa Rais Samia anaongozana na mumewe? Jibu kwanza ndio tuendeleze mjadalaWataalamu,
Naomba kueleweshwa kwa jambo hili, ikitokea nchi yetu tukapata rais mwanamke, je mme atakuwa anaogozana na mke wake? Na kama ni mfanyakazi ataacha kazi ilikuwa karibu na rais?
Nimeuliza kwa nia ya kueleweshwa maana hapa ndani kuna wataalamu wazuri wa mambo mbalimbali.
Nawasilisha kwenu wakuu.
Mbona nasikia ni "singeli" ataambatana na nani hata ikiwa?Itokeee imetokea makamu wa rais ni mwanamke mama samia Hassan kwani nae ni raisi mbona haambatani na mumewe ndivyo hata kwa Raisi mwanamke
Aisee mkuu hilo swali lako mpaka tutumie four figureNa utaitwaje? 'First gentleman' au? Swali la nyongeza.
No sihitaji U Great thinker I need a Gentleman's MindNa wewe ni great thinker[emoji17]
Na akijifungua atapewa 'maternity leave' miezi 3 kama inavyotakiwa katika utumishi wa umma?.Na ikatokea rais huyo akawa mjamzito ataenda kwny ziara za kikazi?
Kama jf ndipo imefikia kwenye mawazo ya hivi, itabidi nijitoe aiseeee...Nadhani rais mwanamke itabidi aachike kama atakuwa ameolewa.