...hii ni kawaida, tena inatokea sana. Ndio maana tunashauriwa unapokuwa na grievances za ndoa (hasa nyie kina mama!) ni bora kuwa muwazi kwa mumeo, au angalau kwa ndugu wa kike wa mumeo.
Miaka ya karibuni kuna chat up line mpya zimekuwa zinatumika sana kuwanasa wanawale walio kwenye ndoa, mojawapo ikiwa ni "...unaonekana hauna furaha kwenye ndoa yako!",... IQ ya mkeo ikiwa sawa na size ya kiatu chake, mmekwisha.