Tofauti na hizi za DART ni kuwa hizi za sasa wamemodify body; pia zina milango kila upande; halafu zitapita kwenye barabara maalumu. Otherwise ni gari zilezile tu tulizozipanda wakati ule.
Kumbe ni gari nilikuwa nasikia hilo neno katika wimbo wa mchakamchaka nikiwa ya msingi enzi hizo " ikarusi mamaaa kumbakumba ikarusi mamaa kumbakisa ....."

Mabasihaya Enzi ya Baba wa Taifa Mwalim nyerer kwa hivi sasa hakuna au kam yapo basi yatakuwa yapo Gereji yamekwisha haribika hayafai tena huku nje bado yanatumika hayo mabasi ya Ikarus Made in Hungary.