Ijumaa Yangu..... Jiunge Nami!!


mamito @Blaki Woman upo, Asprin babu yangu mupenzi yuko juu kama kibo na mawenzi, jana kweli alinikagua mjukuu wake, akapitisha vigezo, na chata ya TBS nikapata! lol! ndio naamka! kha!

Mrembo wangu cacico, ndo nini umeamua kutoa siri za ndani namna hii? Utaniletea matatizo ujue...:A S-rose:
 
Last edited by a moderator:
:A S-rose::A S-heart-2::A S kiss::whoo::mimba::bathbaby::amen::welcome:

mamito @Blaki Woman upo, Asprin babu yangu mupenzi yuko juu kama kibo na mawenzi, jana kweli alinikagua mjukuu wake, akapitisha vigezo, na chata ya TBS nikapata! lol! ndio naamka! kha!
:A S-omg::welcome:

Homie Asprin leo ndo ile siku....naam...usimumunye wala uchiteme njomba la sivyo utamkosa bure Blaki Womani. Na mida ndo hiyo
Nitakuangalizia BADILI TABIA hadi abadilike, cacico ntamtuma dukani....
Hommie Kaizer unaufaham huu msemo "Siku ya kufa nyani miti yote huteleza"?layball::hurt:

hujafika bado unajadili nini hapo na afrodenzi nakupa 10 min bill utaikuta kaunta kwa Joy
:A S-heart-2::lalala:

yamekua haya? Yaani mume wangu wa ndoa unathubutu kuongea maneno haya.....???????? Wallahi narudi kwetu
:sorry::busu

BADILI TABIA bora ulivyomaliza round ya kwanza ukaamua kupumzika, mwenzio nipo hoiiiiiiii, huyu babu hafai hata kwa kunuia tu! lol! Asprin mmhhhhh!
Sssshhhhiiiiiiiii:washing:

Hii kesi yangu na wewe hata utetewe na Kaizer, hautashinda.:fish2:

Halafu huyu babu sijui anatumia mkunyati????
Sie tumeamka hoi yeye bado anadunda tu....
Ndo maana round ya asubuhi niliikimbia....
We BADILI TABIA weweeeee...! We subiri tu>>>:grouphug:
 
Last edited by a moderator:
  • Teamo+Mkuu umeamua kuhamia hapa???!!! Mpwa alitiririka balaa!!!........siku hizi hataki kurudi kitandani...chezeya Wazo wewe!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…