ijumaa tamu kama hii walahi ATM inacheka!!
kwa sie tulio na madeni ni wakati wa kusay 'hello to the world'....pata kitu rooo inataka sikia...lainisha koo;tumbo lipate ile kitu masai napenda.....madeni kitu gani nchi inadaiwa 14trilion itakua wewe?wakuache!!
tukutane kwetu pazuriiiiiii...uwahi tuuu maana parking ni shidaaa....na ni kusimama mwanzo mwishoo!!!