Mwenyezi mungu huwa hafanyiwi mdhaha hata kidogo, na hili utalijutia wakati roho yako inatoka! kwani mungu akisema kuwa inakuwa na huwa acheweleshi nafsi ya mtu hata sekunde moja.
Katika Quran iko aya ambayo tunapaswa tuitafakari wote kwa pamoja.Katika Surat An-Nisaa, (wanawake), 4:79 Wema uliokufikia unatoka kwa Mwenyezi Mungu na ubaya uliokufikia unatoka nafsini mwako, mwenyewe umefanya mambo hata yakakufika hayo. Nasi tumekupeleka kwa watu kuwa mtume na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha (hapaitajiwi shahidi mwingine)
Aya hii inaonesha kuwa Muhammad mtume wa Waislamu, alipelekwa kwa watu kuwa mtume, huku Mwenyezi Mungu akiwa shahidi tu. Siku zote shahidi si mtendaji bali ni mwonaji tu wa tendo lililotendeka.Hoja yetu tungependa kuwajua hao watu waliompeleka Muhammad kwa watu ni akina nani?. Kwa sababu tumeona kule nyuma baada ya Muhammad kutoka pangoni, mkewe Bi. Khadija anamwambia Muhammad kuwa utume huo!!!!!!! Na Bwana Waraqah ibn Naufal akimwambia Muhammad kuwa basi jibashirie kuwa wewe ni mtume wa umma huu kabla ya Quran . hao ndio wale Nasi tumekupeleka wanaotajwa kwenye aya hiyo hapo juu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.