Ijue Zanzibar vizuri

Ijue Zanzibar vizuri

Mkuu Ni kweli maana nami nipo hapa Zanzibar tuna semina yetu hapa Zanzibar beach resort sasa ukitaka story basi madreva taxi wamejaa. Kwa mfano taxi Dreva mmoja katwambia Kuna mwenzia alimbeba mtu Wa CCM wakati tajiri wa gari Ni ngunguri basi Dreva aliambiwa akaoshe gari hiyo maana Kuna nuksi Na jamaa akanyang'anywa gari.Ni hatari sana
 
Hivi JF watu kama hawa wa FB mkiaachia humu hadhi inashuka kabisaa
Joined date 28 August 2016
Simple minded hawa ni sheeda saana


Sijui kama hujaletwa na KIRINGO,maana watu kama nyie na uandishi huu mtakuwa mabuyy tu
Aliiyoyaeleza yote ni ukweli asilimia 100% Nimeishi Zanzibar miaka 3.
 
Munagegeda Ndugu zenu wa kibongo halafu munasema WAZANZIBAR.eti kwa7bu wanavaa hijabu.hijabu kila mtu anaweza kuvaa hijabu hata malaya wakati wakiwa ktk biashara zao. ..kuna ishu moja hapa nimeambiwa siku hizi malaya wa bongo wengi wanakuja Zanzibar kujiuza tangu polisi walivopiga marufuku biashara haramu ya umalaya bara.kila ifikapo alhamis wanakuja zenji kwa fujo kujiuza wewe chunguza tu .wanavaa hijabu kujifanya wao wazanzibari kumbe waunganisha nywele ahahaa
 
yaani kumbe ninavyopanda boti weekend kwenda kupunga upepo Zanzibar kuna wengine wananihesabia kama naenda kwenye biashara?!!! binadamu hawaishi visa.
 
Back
Top Bottom