Ijue Zanzibar katika picha za kale

Bin Faza

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2013
Posts
502
Reaction score
191


Zanzibar Over View


stamps za zamani



Railway ya zamani ya zanizbar, bandarini forodhonai hadi bububu,



Railways in zanzibar



Uchaguzi wa 1963 zanibzar baadhi ya waliokuwa wakisimamia uchaguzi huo



waliimu wa secondari around 1955 zanzibar



Zanzibar in Trade



wachina walifika zanzibar katika miaka hiyo kwa ajili ya biashara


[h=2]Old map of East African Coast 1735 byMathaus Seuther [/h]
 

asante kwa picha nzuri...
 
safi sana na inafikirisha!
kumbe smuggling ya ndovu haikuanza leo na mzee wa tembo inaelekea ni descendant wa hao mababu ndio maana anajiaminisha kuwa hawawezi kuisha!
 
safi sana na inafikirisha!
kumbe smuggling ya ndovu haikuanza leo na mzee wa tembo inaelekea ni descendant wa hao mababu ndio maana anajiaminisha kuwa hawawezi kuisha!

Hii ilikuwa siyo smuggling mkuu, kwa sababu waqti ule ilikuwa rukhsa kutrade hiyo commodity
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…