KIMOMWEMOTORS
JF-Expert Member
- May 17, 2018
- 358
- 675
HakikaProgress ni twin wa Brevis
Na pia huko masokoni (Japan)hazipo kwa wingi ndo sababu kuu ukichanganya na ubugiaji wake wa mafuta imelifanya lisiwe popular kwetu ila ni gari nzuri kwa mbio na utulivu likiwa barabaraniHii Gari imegoma kabisa kupendwa na wabongo/kua popular.
Kwny wese sio inshu Sana,maana engine zilizoko kwny hio Gari ndio ziko kwny Brevis na Brevis mtaani zimejaa,khs uwepo wake sokoni huko Japan sijui maana hata huko Beforward/SBT Progress hua ni nyingi kuliko Brevis.Na pia huko masokoni (Japan)hazipo kwa wingi ndo sababu kuu ukichanganya na ubugiaji wake wa mafuta imelifanya lisiwe popular kwetu ila ni gari nzuri kwa mbio na utulivu likiwa barabarani
Kwny wese sio inshu Sana,maana engine zilizoko kwny hio Gari ndio ziko kwny Brevis na Brevis mtaani zimejaa,khs uwepo wake sokoni huko Japan sijui maana hata huko Beforward/SBT Progress hua ni nyingi kuliko Brevis.
Labda umbo la Progress wabongo hawakuvutiwa nalo.
Kweli mkuu na hio ndio sababu niliyotaka kuijua.Kutakuwa na sababu inayofanya Progress isifanye vizuri kwenye soko.
UGLY COUSIN of Toyota Brevis.....Hii Gari imegoma kabisa kupendwa na wabongo/kua popular.
Variable Valve Timing with Intelligence from Toyota.....manufacturers wengine pia wanatumia Variable valve timing ila Toyota yao wanasema ina intelligence.Hivi wakuu ninajua Kuna magari yenye injini za VVTI Ila hasa sijui maana yake. Injini za VVTIkitaalam Zina nini?
Hahah hatimae nimepatia jibu nilililokua nalifikiria lkn Nilikua sina uhakika na jibu langu.UGLY COUSIN of Toyota Brevis.....
jini hilo mkuuHii Gari imegoma kabisa kupendwa na wabongo/kua popular.
Hivi wakuu ninajua Kuna magari yenye injini za VVTI Ila hasa sijui maana yake. Injini za VVTIkitaalam Zina nini?
Engine zilizoko kwny progress ndio hizo hizo zilizopo kwny Brevis lkn Brevis zimejaa mjini hapa,Progress ni chache mkuu.jini hilo mkuu