mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
for how long? maana hata mimi ki c8 kangu nilikasifia kweli la saivi kananiletea uduanzinshaitumia, haina hanging issues mkuu...
fo
for how long? maana hata mimi ki c8 kangu nilikasifia kweli la saivi kananiletea uduanzi
Kumbe Tecno ni 'kampuni maarufu ya simu'!View attachment 351146 TUKUTANE TENA KUJUA SIMU JANJA ZINGINE TOKA MAKAMPUNI MAARUFU YANAYOLETA BIDHAA HAPA NCHINI......
Hahaha wachuchu hawana matumizi makubwa. Mwambie aeke gem alafu ataona jamba jamba yake ama aweke app kama screen recorderkwa week 1 then nkamuachia mchuchu aliipenda so yeye ndio anaendelea kuitumia, there's no any reported issue mpaka sasa week ya 3 hii inaelekea kuisha!
Haizidi laki 2....Hiyo tecno inauzwa milioni ngapi?
C juu ya laki 2taja bei sasa kijana mana ndo kitu cha muhimu kuliko vyote ulivoandka hapo, sh ngap
Mbona anatuambia haina 4g....?
Hii hapa toka google
Screen recoder inarecord nn mkuuHahaha wachuchu hawana matumizi makubwa. Mwambie aeke gem alafu ataona jamba jamba yake ama aweke app kama screen recorder
Tatizo simu ukiiona kwenye picha inakuwa nzuri ila ukiingia dukani utaikuta haina tofauti na tecno p5.Haizidi laki 2....
Unachokifanya juu ya scrern yako.Screen recoder inarecord nn mkuu
Note 3.Hizo simu zipo kibiashara zaidi, mfano c8 kiumbo na kamera kidogo imeboreshwa lakini tatizo lake ram ndogo na inataka network full ukiwa mbali kidogo na mnara haivumilii hata kidogo. Na J8 nayo iko vizuri kwenye RAM na mziki lakini ukiiangalia kwa undani hii cm touch yake sio bora km ya c8, alafu screen yake haijatulia sana ktk ubora pamoja na kupromotiwa sana. L8 imeboreshwa betri na housing yake ila shida za RAM inayo pia. W4 haina umbile zuri, na betri, camera, ram ndo haikuboreshwa ila kwa maswala ya network speed imeboreshwa sana. Nadhani kiu kubwa ya wateja ni kupata cm yenye Ram angalau GB 3, android 6.0, ukubwa screen 5.5, ROM GB 36. Betri 5000mah, nk nk. Na bei iwe nafuu
Nitaipataje hiyo mkuuUnachokifanya juu ya scrern yako.
Kama unajua screenshot basi hii inaleta matokea ina a form of video.
Kwamba unaweza muonyesha mtu kitu unachokifanya
Kama unatumia android tafuta app inaitwa Az screen recorderNitaipataje hiyo mkuu
Tembelea TECNO SMARTPHONES Jukwaa maalumu kwa watumiaji wote wa Tecno na Ujifunze mengi Kuhusu TECNO SMARTPHONESMi nauliza mbona tecno hawana mifumo mizuri ya kuapdate android Os. . Nimeona kuapdate c8 kazi kweli wakati wenzao unaupdate online kama application kuna tatizo gani hapo
Tembelea TECNO SMARTPHONES Jukwaa maalumu kwa watumiaji wote wa Tecno na Ujifunze mengi Kuhusu TECNO SMARTPHONESKama unatumia android tafuta app inaitwa Az screen recorder
Umewahi kuitumia au umekaririshwa!?Si unaona tecno ya kawaida kabisa
I guarantee kustack kwake ni mwendo wa kobe