Los técnicos
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 3,031
- 2,667
Mmeshaiona mikoa ya mango'mbe safari hii yanaweza kuwageukia mpaka mshangaeIfuatayo ni mikoa inayombeba mgombea wa CCM kwa kura nyingi ambazo zinaenda kupatia ushindi mkubwa usiotarajiwa na washindani wake kwenye sanduku la kura.
Mikoa hii ni mikoa yenye idadi kubwa ya watu na ina maelfu wa wanachama wa CCM, hivyo kama vyama shindani hawakujikita huko mapema baada ya 2015 tu kuandaa members basi wajue hawana chao Oct 2020.
Mikoa hii ni ngome kubwa ya CCM, ni vigumu sana wakaazi wa mikoa hiyo kuwahamisha, lakini zaidi ni Magufuli.
1. DODOMA
2. TABORA
3. MWANZA
4. RUVUMA
5. SHINYANGA
6. GEITA
7. RUVUMA
8. MOROGORO
9. UNGUJA JUMLA
10. SIMIYU
11. TANGA
12. IRINGA
13. KATAVI
14. RUKWA
MIKOA ambayo haipo kwenye orodha hapo juu ni ile ya kugawana kura ambapo kura ndogo zitaongeza ujazo kwenye kura nyingi zitakazotoka kundi la mikoa iliyoorodheshwa juu.
Mikoa ya kugawana ni:
1. ARUSHA
2. KILIMANJARO
3. MARA
4. LINDI
5. MTWARA
6. PEMBA JUMLA
7. MBEYA
8. SINGIDA
3. KIGOMA
Kura za mikoa hii haziwezi kumpa ushindi mpinzani yeyote kwa sababu kura nyingi watagawana na CCM.
MIKOA isiyojulikana na yenye vigeugeu ni:
1. DAR
2. MTWARA
3. KAGERA
KURA NI MAHESABU TU. KAMA VYAMA VYA UPINZANI HAWAKUFANYA MAGAZIJUTO MAPEMA, BASI WASITUMIE GHARAMA ZA MATUMIZI HAKIKA WATAPATA HASARA BURE.
Akifikisha hata 35% akatoe sadaka kea mizimu ya kwaoAiseee Magu Anashinda kwa 90%.....
😂😂😂Yaani Huwa Nafurahi Kwa Ulevi Weñu wa kujipa matumaini yasiyopo😁😁....Akifikisha hata 35% akatoe sadaka kea mizimu ya kwao
Mkuu Manyara ni ngome ya Chadema tangia lini?? Kuna wabunge wangapi wa CDM waliopigiwa kura huko Manyara ukilinganisha na wa CCM??Naona RUVUMA umeiandika mara mbili ili ionekane CCM ina mikoa mingi. By the way mikoa ya, RUVUMA, UNGUJA, TABORA Itakwenda upinzani
RUVUMA sababu ya Korosho
UNGUJA / Zanzibar nzima ni kambi ya maalim, itampa mtu yeyote ambaye Maalim ataendorse
TABORA, ngome ya CUF ya Zamani sasa hivi ni ngome ya ACT. Kwa hiyo itakwenda kwa mgombea ambaye ACT itamuunga mkono.
Wapinzani watachukua
1. Mbeya (Always upinzani huko)
2. Singida (kwa Lissu)
3. Mara (Ni ngome ya upinzani)
4. Arusha (Ngome ya Chadema)
5. Kilimanjaro (Ngome ya Chadema)
6. Dar es salam (Waelewa, Upinzani una ushawishi mkubwa)
7. Lindi (Korosho)
8. Mtwara (Korosho)
9. Kigoma (Kwa mwami Zitto)
10. Pemba (Kwa Maalim)
11. Kagera (Mishandling ya tetemeko)
12. Manyara (Ni ngome ya Chadema)
13. Iringa (Nguvu ya upinzani ni. kubwa)
14. Ruvuma (Korosho)
15. Tabora (Ngome ya zamani ya CUF, Sasa hivi ACT ina nguvu huko)
Mikoa ambayo CCM atashinda
1. Morogoro
2. Pwani
3. Rukwa
4. Mwanza
5. Geita
6. Dodoma
Mikoa watakayochuana vikali na kugawana kura sana ni
1. Songea
2. Shinyanga
Kwa kweli sioni ni kwa namna gani CCM anatoboa this time
Vipi bado unavutaga marihuana za Arumeru!!Akifikisha hata 35% akatoe sadaka kea mizimu ya kwao
Labda unielimishe; hivi Lowassa alikuwa na nguvu gani? Au zilikuwa nguvu za soda tu..😂😂😂Yaani Huwa Nafurahi Kwa Ulevi Weñu wa kujipa matumaini yasiyopo😁😁....
Hamtaki Kukumbuka....
Hamtaki Kukumbushwa.....
Hamtaki Kujifunza......
Alikuwa Lowassa na Maguvu yake ya kila namna,Sembuse Tundu Lissu na hoja yake moja ya SHAMBULIZI MWILINI MWAKE?!!!
Haya wakati ni ukuta....
Magufuli for 20Ni kweli kabisa,na Kampeni ni lazima ufuate Sayansi...Mikoa ya Ziwa ina utitiri wa watu vijijini ambao hata matumizi y Choo kwao Ni kitendawili...wao kofia na T-shirt inatosha kabisa kumuweka Duniani!
Hii Ni ngome kuu ya wa watu fulani...na ukizingatia Ubagoshaaa! Kuna kazi kule!
Bahati nzuri kwa upinzani unakibalika miongoni mws wasomi, vijana na wajanja fulani...Hawa wengi wapo mijini...kutokana na vijiji fulani kugeuka kuwa vimiji,kwetu Karagwe tunauita Sentani' hapo Kuna kura za upinzani!
Na kwa mwelekeo huu ,ambapo pia Chama Tawala kimewekeza kwenye ,ukale,ujinga na mabavu.Bahati mbaya sana kwao kizazi kinachomaintain' status quo ya ukale ...TAA,TANU ,CCM ,NYEREREISMs kina potea kinapitea Kama Dinassours ...huu Ni msiba kwa CCM!Kwa hiyo
bila hata kuangalia uchaguzi wa Mwaka huu, CCM inapoteza waachama wake wa damu by default[emoji23]..
Na Kama itatokea Awamu ya Tano ikaendelea [emoji30][emoji30] na wakawepo pale ,Polepole, Bashiru, na vile vikuu vya Mikoa fulani CCM utakuwa inajimomomnyoa' yenyewe!
Dalili hizi Ni wazi...na hivi Ni Viashiria...Mwaka huu kwa Mara ya kwanza mgombea wa upinzani Ni mpinzani🤗🤗! ;Nguvu kubwa iliyotumika kuua upinzani kwa miaka 5 haijazaa matunda;Dhana ya upinzani imeanza kujibainisha zaidi kifikra,hii Ni hatarikubwa kwa Chama chenye asili ya Ukomunisti!
Vindakiki,wafurukutwa na wakereketwa hamuwezi elewa Sayansi hii!
Kwa kazi ya Magufuli hakuna cha mikoa kujanjaruka Bali ni JPM atabebwa kutokana Na kazi alizozifanyaMkuu kwenye iyo mikoa 14 hapo itakushangaza kitu watu washajanjaruka siku izi
Sio rahisi maana TL alishakuwa branded ntu mbaya ka Savimbi hadi vijijini wanamfahamu hivyoLakini Sayansi ya Siasa inaweza badilishwa pia na kudra na Bahati! Au tukio ambako halikutarajiwa katika mazingira ya kawaida!
Tukio la ukatili alilofanyiwa Tundu Lissu litaibadilusha nchi hii! Iwe leo,kesho,kesho kutwa au mtondogoo !
Mkuu Wangu Kwa Hiyo Ulitaka Lowassa ahame na marehemu mzee Mkapa,Mwinyi,Warioba,Malecela et al?!!Labda unielimishe; hivi Lowassa alikuwa na nguvu gani? Au zilikuwa nguvu za soda tu..
Nakumbuka alisema ataipasua CCM katikati, najaribu kujiuliza hapa hivi ni viongozi gani waandamizi (wazito) wa CCM ambao Lowassa alihama nao??
Lowassa was nothing; hizo kura 6m alizikuta hukohuko upinzani...
Kwa maandishi yako ya kashifa jiandae kuwafuata wenzako unaosema walipotezwa kama ni kweli JIHADHALI WAKATI WOWOTE TUNAKULA KICHWA MAANA UNATUTUKANA WAKATI UNAJUA MUZIKI WETU NI KULA VICHWA VYA WAJINGA KAMA WEWE HILO MOJA . PILI CHINA INACHAMA KIMOJA KABLA MZAZI WAKO HAJAZALIWA LAKINI NDIO TISHIO LA UCHUMI KWA HAO RAFIKI ZAKO DEMOCRATICS NA REPUBLICAN UPOOOOO?Karne hii kuongozwa na CCM wakati tulishaachana na mataipuraita masimu ya mkononi ya jeneza Yale ya kukoroga yalishapitwa na muda kitambo cc bado tuko na maccm lichama la Karne ya 19 huko hili c Jambo la kujivunia ni mkwamo wa kijamii Leo hii Nani anavaa klimprin au kutumia kamera za Kodak au yashika Yale ya zamani CCM should be crapped coz wameshindwa kuendana na wakati bado wanaitawala nchi ki Karne ya 18 unlikely kwamfano Democrats na Republicans ambao Wana miaka Mia mbili lakini wameendana na muda kwa kadri Jamii inavyobadilika so wanaabsorb mabadiliko CCM sio hivyo yenyewe inaongozwa kizamani ukiwapinga unapotezwa Mambo gani hayo ya Karne za pirating!
Kwani mimi siishi mikoa hiyo? kwani Mimi sitembelei mikoa hiyo! uli nyoo shi?Acha kudanganya wewe mikoa kama simiyu, shinyanga sio ya ushindi wa ccm hata Sikh moja Mimi in mzaliwa wa huku na ninaishi huku usidanganye wadanganye wajinga wenzio mnaopigana mitama kwa utovu wa nidham kwenye majukwaa ya kisanii.
Mnafiki wa kidini wee.....Lowasa alishinda ule uchaguzi. Tulimwomba Mungu E.L asihamasishe wapiga kura wake kuingia barabarani (maana kungetokea umwagaji damu) Mungu akatujibu maombi yetu, amani ikaendelea kuwepo ili tumwabudu Mungu wetu kwa uhuru.
JESUS IS LORD!
kusahau huko mkuuMbona umerudia ruvuma?
Watajiharisha wakatibiwe ubelejiUchaguzi huu utawashangaza wakenya wa singida
Tanzania and ccm HQResearch uliifanyia wapi
Kwani ofisi zenu zilifungwaWangefanya magazijuto hayo saa ngapi , wakati utawala wa ki dictator ulipiga marufuku shughuli za vyama vya siasa kwa miaka mitano mfululizo ili Ccm wafanye wao tu ???!!!.
[emoji3] [emoji2] [emoji1] mgombea wa EUSingida hakuna upinzani pale huko anakotokea mgombea wa EU wapiga kura hawafiki hata 200,000 na siyo wote wanaomuunga mkono.
Mkuu ni wewe tu una hali ngumu, mie namalizia jengo la lodge hapa ili mwezi ujao niifungue, Karibu utumikie nduguNchi nzima Hali ya wengi ni ngumu kimaisha sababu ya sera mbovu za kuwasomesha watz namba ili wawe masikini ili watawaliwe kirahisi.
Ujaona wasanii Jana wamejazana wanafanya ibada za kusifu sababu ya njaa