Ijue Graphene

NullPointer

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2011
Posts
3,461
Reaction score
2,284
IJUE GRAPHENE KWA UFUPI SANA NA LUGHA RAHISI,

Hiyo ndiyo graphene, material nyembamba kuliko zote duniani (mara milioni kuliko karatasi nyembamba) hadi kufikia kuitwa a two dimensional object, maana ni ina unene wa atom moja. Ni moja ya crystalline forms za carbon, ndiyo yani Carbon kama material iliyopo kwenye penseli unayotumia kuandikia. Ndiyo material ngumu kuliko zote duniani baada ya kuipita diamond kiasi kwamba ili kuitoboa inabidi labda utumie greda..
Ni a good conductor kwa lugha rahisi yaweza kupitisha umeme na kwa sababu hii, imeattract wanasayansi wengi ambao wanajaribu kuitumia graphene kwa matumizi mbalimbali kama kutengeneza displays ambazo ni ngumu, zinazoweza kujikunja na kua adjusted kwa size mbalimbali, wengine kwenye medical field kutengeneza devices ambazo zaweza kuingia mwilini kwa ajili ya kazi flani maalumu (kutokana na size yake kua ndogo)
Mfano wa kitu kilichotengenezwa kutokana na graphene


Hii ni display ambayo ilitengenezwa na Samsung unayoweza kuikunja unavyotaka na bado ikawa ina-display vizuri tu.
Inasemekana pia battery ambazo zitatokana na application ya hii material utakua una uwezo wa kuzicharge kwa chini ya dakika moja tu hadi full charge.
Tazama a short clip ya artist description ya a near future of technology kwa kutumia graphene

Mtegemee mambo matamu ndani ya miaka michache maana vitu vishaanza kupikwa vinakuja...


Nadhani wale wanaolaumu kutumia lugha ngumu basi nikiweka lugha rahisi zaidi ya hii ntakua nimefanya dhambi...
 
Last edited by a moderator:
mnhh samsung kutumia graphene?

graphene bado kaka maybe 2015 ndo tutaanza kuona product zake. na kikianza kutoka kitu itakua ni nokia atakaetoa au huyo ataetoa hicho kitu itabidi apate licence ya nokia maana ndie anaeidevelop akishiriiiana na academic inatitution mbali mbali za ulaya
 

Mwajitahd kaka
 
Kuhusu nokia si kweli, graphene is just a material na hakuna kuweka patent kwa vitu ambavyo vina exist naturally kama hiki maana hata kutokana na penseli mtu anaweza kutengeneza graphene... Patent zipo nyingi tu ambazo makampuni mbalimbali yameweka lakini sio patent ati mtu aruhusiwi kutumia graphene kutengeneza electronic device na nokia ikisema itoe basi ndio itakua ya mwisho, wajanja washawahi wengi tu, Samsung product kama hiyo display unaona hapo ilionyeshwa CES 2012 na 2013 Los Angeles, so ni product ambayo ipo sema tu sio kwa consumers huku Nokia hata prototype hawana.. Na kusema 2015 ndio tutaanza kuona product zake pia si kweli, utaanza kuziona mwaka huu, December hadi february mwakani wana release gadget moja inaitwa Emopulse Smile tafuta picha zake uone, makampuni mengi tu yashatengeneza product kwa graphene sema production yake ni slow ndio watu wanafanya research kuondoa tatizo hilo...
 

Attachments

  • 736731213010518.jpg
    37.5 KB · Views: 56
hebu tuanze na graphene then tutakuja kwenye bendable display

kaka graphene haiexist naturally inatengenezwa artifically.

origin ya graphene
toka ugunduzi wa xray graphene ikapatikana concept ila ugunduzi kabisa ulifanyika 2004 katika university of manchester na professor andre geim ndie aliefanya hio kazi, huyu proffesor ndo akapewa tuzo ya noble 2010 kwa sababu ya graphene.


baada ya hapo mpaka leo ikaundwa timu na umoja wa ulaya kufanya research na hio timu ilipewa euro 1.15bilion timu yenyewe ipo hv.
1.kiongozi ni professor alogundua graphene andre geim
2. nokia research centre
3. cambridge university
4. manchester university
5. kuna na chuo cha kirusi

wapo wengi nenda site hii ukaisome graphene kwenye european view
Graphene Flagship

hawa europe ndo wamegundua na ndo wana siri zote za graphene.

tuje kwenye patents
hapa ndo utacheka top ten ya makampuni yenye patent nyingi yanatoka nchi tatu tu marekani, korea, china. haihitaji kua genious kujua kama hizi ni propaganda watu wanatengeneza patent pumba ilimradi tu nao wawepo. kaka tuipe muda graphene halafu utaona result zake na tutaona nani anaejua kuja na kitu cha maana.
 
tuje kwenye curved display. sijaskia kokote kuwa ya samsung imetengenezwa na graphene

urafiki wa mashaka wa simba na swala
zamani nokia na samsung walikua ni marafiki na kama unakumbuka samsung pia alikua anatumia symbian na aliitaman pia meego. samsung alikua naye anafanya mass production ya screen za nokia. mwaka 2011 nokia alitoa mass prototype za simu ambayo ni bendable. ngoja niielezee kwa undani

bendable phone ya nokia
hii ilikua simu nzima ina bend namaanisha motherboard, kioo, cover, battery na kila kitu. na hii simu ina video na wapenda tech wote wanaijua.

angalia video hapa

Nokia Bendable Kinetic Phone Prototype - YouTube

video nyengine

NOKIA Demo's FLEXIBLE Phone! - YouTube

hapo nafkiri nimeshaondoa ile kauli kua nokia hana hata prototype

tuendelee na story yetu
nimesema hapo juu kua samsunng alikua anamanufacture screen za nokia, na samsung mwenyewe akawa anasema ana firewall kubwa baina ya sehemu ya kumanufacture na sehemu wanapodesign simu zao. ila miaka ya karibuni samsung akachange akaanza kucopy technolojia za wenzake ndio samsung akacopy hio flexible screen toka nokia na pia alimuibia nokia technology yake ya amoled. (kuna source ya vyote hivi ukihitaji kufanya reference zaidi nambie). makampuni haya kwa wakati tofauti yameshalalamika.
1.nokia
2.apple
3.htc

na ndio maana nokia akawa anamkimbia samsung, apple nae akakimbia pamoja na htc

Nokia cutting its Samsung components orders? Concerns of Samsung copying Nokia | nokiagadgets.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…