
πΌ π π πΎ π π π π π πΌ π

Kwa kifupi sana kuhusu ASEC MIMOSAS wapinzani wa Simba kwenye kombe la shirikisho Afrika,

Klabu hii ilianzishwa mwaka 1948 ni miaka 74 sasa imepita na inashiriki Ligi kuu nchini Ivory coast,

Inamiliki uwanja wake ujulikanao kama Stade Felix Houphouet-Bolgny Abidjan, wenye uwezo wa kuingiza watazamaji 50,000.

Mwenyekiti wake ni Roger Ouegnin huku ikiwa inafundishwa na kocha Julien Chevaller.

Na hawa ni baadhi ya nyota waliowahi kuichezea ASEC MIMOSAS

Bonaventure Kalou, Didier Zokora, Emmanuel Eboue, Bakari Kone, Gervinho, Solomon Kalou, Romaric, Boubacar Barry, Didier Ya Konan, Kolo Toure, Yaya Toure, na Odilon Kassounou.

Kwenye kuyaanza makundi ya kombe la shirikisho wataanza na Mnyama kwenye dimba Ia Benjamin Mkapa