Ijue Applications mpya ya Secure SMS..It's Excellent

Ijue Applications mpya ya Secure SMS..It's Excellent

lumbi lumbi

Senior Member
Joined
May 30, 2017
Posts
173
Reaction score
160
dc430a91748f97f1851458d0e225a568.jpg

Hivi sasa kuna uwezekano wa kusomwa meseji za wateja katika mitandao tofauti bila ridhaa yao au bila agizo la kimahakama, Secure SmS haita muwezesha mtu yeyote kujua nini ulicho muandikia rafiki au jamaa yako sababu kila ujumbe utalindwa kwa kuvurugwa (Encryption).

Ni haki ya Kila mteja kuwasiliana kwa kugha yeyote ile atakayo chagua Kiswahili, kisukuma nk, sasa tumia lugha hii ya kielectronikia iliyo buniwa kulinda ujumbe unaoutuma mpaka utakapo mfikia mpokeaji (End-to-End Encryption) sio kuvunja sheria.

Tofauti kubwa ya kiusalama ya app hii tofauti na nyingine ni kuwa aihitaji kuwa na Internet ili uweze kuficha siri ya unachokituma, lugha iliyotumika sio rasmi hivyo ni vigumu kwa wataalamu wengine kung’amua aina ya lugha iliyo tumika (Non standard encryption).

Secure SmS ina lugha tofauti tano, mtumiaji na mpokeaji wataamua wenyewe ni muda gani watumie lugha ipi kwaajili ya kupoteza wote wanaofatilia mawasiliano yao. Ni haki yako kutuma unachojisikia ili mradi hakimdhuru mwengine au kuvunja sheria ya nchi.

Secure SmS pia inaweza kulinda ndoa kwa kuweka privacy baina wanandoa kila mmoja awe na uhuru wa kuwasiliana (Hide messages). Tunahaidi kuboresha kila siku mfumo huu na kufanya mfumo salama wa mawasiliano kwa jamii duniani.

Mfumo huu unauzwa kwa garama ya Tsh.2,000 ila kama ukinunua kwa kutumia Celebrity ID utapata mfumo huu kwa 1,500. Na gharama hizi ni kwa kipindi cha mwaka mzima. Ikitokea ume uninstall application bahati mbaya hutolipia tena mfumo utaingia moja kwa moja bila kuhitaji ufanye malipo yeyote.

Malipo yote yatafanyika kwa Mpesa, Tigo Pesa na Airtell money. Pia unaweza lipiwa na rafiki kwa mitandao hiyo download app kufuata maelekezo jinsi ya kulipa.Pia tembelea page yetu ya Instagram @securesms kwa maswali zaidi.


Download app for secure SMS
Secure SmS - Faragha – Applications Android sur Google Play
 
Kuna trial hata kwa wiki ili tusaminishe mzigo kama unalika?
 
mkuu hiyo E2E encryption si kama ya whatsapp?...je hujasoma article zinazoelezea E2E encryption ya whatsapp inavyodukuliwa!!?..
wanasema key ipo ndani ya whatsapp root folder kwenye cm yako!!..mmejiandaaje kwa hiyo dhana?
 
mkuu hiyo E2E encryption si kama ya whatsapp?...je hujasoma article zinazoelezea E2E encryption ya whatsapp inavyodukuliwa!!?..
wanasema key ipo ndani ya whatsapp root folder kwenye cm yako!!..mmejiandaaje kwa hiyo dhana?
E2E ni ya uhakika na unaona mwenyewe
We don't do in background..

Usiwe na Shaka na hilo mkuu
 
What problem are you solving exactly? Sisi ni third world country we have better things to do
 
Back
Top Bottom