Igunga: UWT taifa yahitimisha ziara kwa kishindo

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
3,119
Reaction score
1,430

IGUNGA: UWT TAIFA YAHITIMISHA ZIARA KWA KISHINDO​

πŸ“Œ MHE. HAWA GHASIA ASISITIZA USHINDI KWA CCM HAUEPUKIKI SERIKALI ZA MITAA NA UCHAGUZI MKUU.

πŸ“Œ MBUNGE NGASSA ASEMA "TUMEPOKEA MAELEKEZO, TUNAYAFANYIA KAZI.

Mjumbe wa Kamati ya Utekekelezaji ya Baraza Kuu la UWT Taifa Mhe. Hawa Ghasia amekamilisha ziara ya kikazi Wilaya ya Igunga huku akisisitiza kuwa ushindi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu hauepukiki kutokana na kazi nzuri ya utekekelezaji wa Ilani ya CCM uliofanyika baada ya Serikali ya CCM inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kutoa Fedha nyingi za miradi ya maendeleo.
 

Attachments

  • WhatsApp Video 2024-07-13 at 07.58.40.mp4
    37.6 MB
Huyu Mama Bado yupo kwenye siasa kumbe? Wakati wa kambale alipotezwa mazima.

Ni kiongozi aliyekulia kusoma na kupata vyeo kwa nguvu ya biashara ya SIHIRI,kutoka kwa mshua wake, watu wengi walikuwa wanafurika Kwao kwa ajili ya kununua SIHIRI.πŸ˜…πŸ€”
 
well done UWTsπŸ’ͺπŸ‘Š
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…