sulphadoxine
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,257
- 645
mi naona huyo jamaa anacheza mchezo wa nipe nikupe. anafahamu asiposhiriki na ccm ikashindwa atabeba sehemu kubwa ya lawama, na usije kusahau kuwa huyu ni mtu ambaye anatuhumiwa katika ufisadi (hata kama mazingira hayamhusishi moja kwa moja) hivyo ni lazima apalilie shamba lake vizuri, maana chama kinaweza kumgeuka kwa kuyanyima tenda makampuni yake ambayo yamekuwa yakishinda tenda kutokana na ushawishi wa kisiasa, hii itakuwa pigo kwake kibiashara, au hata kuwafikisha mahakamani ndugu zake ambao kama alivyoripoti ndugu Msemakweli aliwabebesha jukumu la kusimmamia kampuni zake ( anajificha nyuma ya kivuli chao). hivyo hapa analinda masalhi yake kwa kuwa anjua bado ana nafasi ya kuendelea kuwakamua watanzania kwa kibali cha watawala, yaani ccm.
Haukumwona siku ile CCM wanazindua kampeni? Rostam ndie mwenye Igunga angalau kwa sasa.Hivi wadau mnauhakika na mnayochangia?Mpaka sasa RA hajashiriki kampen directly,hajapanda jukwaani hata mara moja,ushiriki wake bado ni tetesi tu eti ameombwa na Jk.Sipingi hili,na ni unafiki mkubwa kwa RA na magamba kama kweli wataamua kumtumia RA Igunga,ila ninachotaka kusema ni kutaka wanajf tuwe na uhakika kabla ya kuchangia na kupost thread vinginevyo tunalishushia hadhi jukwaa.
nafikiri mwenzetu kama unaangalia tv huwa unaangalia nyuma ya screen yupo tangu mkapa anafungua kampeni siku ya jmosi ya ajali kubwa ya meli ya spice nini sijuiHivi wadau mnauhakika na mnayochangia?Mpaka sasa RA hajashiriki kampen directly,hajapanda jukwaani hata mara moja,ushiriki wake bado ni tetesi tu eti ameombwa na Jk.Sipingi hili,na ni unafiki mkubwa kwa RA na magamba kama kweli wataamua kumtumia RA Igunga,ila ninachotaka kusema ni kutaka wanajf tuwe na uhakika kabla ya kuchangia na kupost thread vinginevyo tunalishushia hadhi jukwaa.
JULAI 13, mwaka huu, siku alipotangaza kujiuzulu ubunge wa Jimbo la Igunga na ujumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rostam Aziz alisema kuwa amefanya maamuzi hayo kutokana na kuchoshwa na siasa uchwara, fitina na kuandamwa ndani ya CCM.
Katika hotuba yake kwa wana-CCM na wakazi wengine wa Igunga, Rostam alikwenda mbali zaidi kwa kuwashutumu baadhi ya viongozi wa Sekretarieti ya chama hicho kwa kuendesha kampeni za kumwandama kwa tuhuma mbalimbali za kukosa maadili na kumtaka ajivue gamba.
Aliwashutumu Naibu Katikbu Mkuu wa CCM Bara, Kapteni John Chiligati na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Nape Nnauye.
Itakumbukwa kuwa baada ya kikao cha NEC kilichofanyika mjini Dodoma Aprili mwaka huu na kutoa na maazimio 26, moja namba 15 likiwataka vigogo wenye tuhuma za ufisadi kupima na kuamua kuchukua hatua kwa kujiwajibisha badala ya kusubiri kuwajibishwa na chama, Chiligati na Nape walifanya ziara katika maeneo mengi ya nchi wakiwaelezea wanachama maana ya dhana ya kujivua gamba.
Ili kuweka sawa na kumbukumbu ya makala yangu, Rostam alisema: Mara tu baada ya kumalizika kwa kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ambacho kilichagua wajumbe wapya wa Kamati Kuu na kuidhinisha uundwaji wa Sekretarieti mpya, dhana ya kujivua gamba ambayo naamini Mwenyekiti wetu

nafikiri mwenzetu kama unaangalia tv huwa unaangalia nyuma ya screen yupo tangu mkapa anafungua kampeni siku ya jmosi ya ajali kubwa ya meli ya spice nini sijui