kweleakwelea
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 3,066
- 1,535
Kashindye Atachua miaka 10 kwenda haja kubwa maana ng'ombe 12 kala wote si mchezo!
hii kali, duh!Kafumu anakula kiyoyozi bungeni na ameanza kusinzia maana hajui la kufanya...
Ujinga ni mzigo!Kashindye Atachua miaka 10 kwenda haja kubwa maana ng'ombe 12 kala wote si mchezo!
Kashidye kwakuwa ni mtu wa watu hakula peke yake, angekuwa Dr Kafumu angebeba kwenda kulia DSM kama walivyofanya sherehe ya kumpongeza. Kura wapige wana Igunga, sherehe wafanye watu wa DSM wapi na wapi?Kashindye Atachua miaka 10 kwenda haja kubwa maana ng'ombe 12 kala wote si mchezo!
Kafumu anakula kiyoyozi bungeni na ameanza kusinzia maana hajui la kufanya....well done Mwl Kashindye.....
Hongera kamanda Kashindye,hata mimi huku nakutambua wewe ndio Mbunge wa Igunga.
Tusubiri 2015 itafika tu lakini endelea na harakati na mapambano bila kuchoka
hi all,
wakati mapokezi ya mbunge wa ccm igunga dr kafumu yakidorora yakifanyikia ndani ya kumbi za makao makuu ccm taifa pale dodoma (yasingeweza kufanyika katika open ground), aliyekuwa mgombea wa chadema kashidye ameendelea kuchinjiwa ngombe katika kata za igunga kama kumpongeza kwa kushinda uchaguzi ule.
wakazi wa igunga wanaendelea kumpongeza kashindye kwa kushinda uchaguzi na kwamba wao wanamtambua kama mbunge wao.
teyari hadi tunaenda mitamboni, ameishachinjiwa ng'ombe katika kata 12 za igunga...
naomba kuwakilisha!
nyie wajinga wa magamba mko kama fungus target yenu is to rotten the nation! kashindye ni mbunge sababu ndiye mwenye ushawishi elewa kama hujala gamba la mambaMjinga ndie aliwaye anapozwa kwa ng'ombe? Anatia huruma huyu mchizi.Kafumu ameshaapa unategemea kesi kweli? Ila kupewa ng'ombe sio kigezo maana hata Mwigulu alipewa kwa kuendesha kampeni hivyo hata Kafumu anaweza kuchinjiwa tu