Igp mwema ocd zuberi mwombeji arusha anavunja misingi ya dhana ya polisi jamii !!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Igp mwema ocd zuberi mwombeji arusha anavunja misingi ya dhana ya polisi jamii !!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JOB SEEKER, Oct 31, 2011.

 1. JOB SEEKER

  JOB SEEKER Senior Member

  #1
  Oct 31, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa kile alichokionyesha pale mahakamani siku ile ya kesi ya uchaguzi,juu ya wananchi pamoja na mbunge wao mh.Godbless lema,hakika kinavunja misingi ya dhana ya polisi jamii ninamnukuu....' hao watu wanaenda wapi kwani kesi inawahusu ? na yeyote atakaye vuka hawa polisi hapa hatakuwa chambo na kuniambia kuwa hata watu wakija maelfu na maelfu mahakamani lazima kesi hii initie kidole ( Zuberi)

  Hakutosha bado akaonyesha dharau juu ya mamlaka ya sheria inayowaruhusu wananchi kusikiliza kesi mbalimbali.

  Baada ya kesi kusikilizwa wananchi waliokuwa nje ya chumba cha mahakama wakiwa na hasira huku wakilalamika na kwani kwa mara
  nyingine tena OCD Zuberi,..........
  amewaita tena wananchi PANYA na akiamuru polisi wa ngazi ya chini kwa kusema “sogezeni hao PANYA nyuma

  Natoa hoja hii kwa masikitiko makubwa huku nikimshinikiza IGP Mwema kutatua sintofahamu hii inayoleta chuki dhidi ya raia na polisi.

  Polisi na jamii ni kama chicken and egg phenomenon huwezi kuvitenganisha ili jeshi la polisi liweze kufanya kazi vizuri linategemea jamiikwa kiasi kikubwalakini angalizo ni kwamba unaweza kuvitenganisha kwa kutumia chuki,hisia za kisiasa na matusi zinzoaribu misingi ya ukweli.

  JOB SEKEER.
   
 2. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,835
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Sasa Huyu Polisi Hata Huwa Hasomi Alama za Nyakati!! Gadaffi Aliwaita Anaowaongoza Panya!! Panya wakamgeuka na Kumtafuna Hadi kumla na Kummeza!! Ila najua huyu Zuberi ni Mtu Mdogo sana ambaye anaweza Kuharibu sifa za Jeshi la polisi!! Ila sisi "panya" Tunachotaka Jeshi la Polisi wafanye ni kurudisha imani ya Panya kwa Jeshi Lao!! Nawasha!! Ila hii ni Kufuru Iliyopitiliza!!
   
Loading...