Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Jeshi sio siasa lina taratibu zake, tuache porojo hazisaidii.WanaJF,
Kuibiwa kwa upanga wa dhahabu aliokuwa amekabidhiwa IGP Mwema kuashiria uongozi wake wa muda,ambao ni mali ya shirikisho la wakuu wa majeshi ya polisi wa nchi za kusini mwa Afrika (SARPCCO),kumelifedhehesha na kuliaibisha Taifa!
Kutokana na uzembe uliosababisha kuibiwa kwa upanga huo wenye thamani kubwa inayokadiriwa kufikia shilingi milioni 600 za kitanzania,IGP Mwema hana budi kuwajibika kwa kung'atuka madarakani bila shuruti yoyote!
Yeye kama kamanda mkuu anastahili kuoyesha mfano katika kukabiliana na adui ambaye ni uzembe,rushwa na wizi uliokithiri katika jeshi la polisi nchini na kuwapa changamoto wanaobaki nyuma yake kwani cheo ni dhamana!
Swali:Ni nani anayeweza kuingia ofisini kwa IGP Mwema akaiba Laptop yenye mambo nyeti au upanga wa dhahabu unaotakiwa kulindwa masaa 24 na kutoka bila kukamatwa?
WanaJF,

Nasikia muda wake wa kuondoka ni mwezi wa kumi na mbili,kwakuwa tumezoea kubebana wameamua asubiri muda wake ufike,ili aondoke kwa heshima!
Jeshi sio siasa lina taratibu zake, tuache porojo hazisaidii.

Jeshi sio chama cha siasa, ambapo mtu anapata cheo kwa kupigiwa kura, linaongozwa kwa kufuata taratibu zake ambazo kamwe hutazijua na lina utaratibu wake wa kushughulikia mambo yake ya ndani na si lazima linaposhughulikia mambo yake umma Including you upate taarifa. Tumia mitandao kwa manufaa kwa taifa na jamii yako.
Angalia majambazi wanavyo vaa sare za jeshi la poli na kupora mali za watu baada ya kuwaua upamnga huu hauja ibiwa ila ameuhamisha na kuupeleka anako jua yeye uliona wapi mali za polisi zinaibiwa?