kisugujira
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 774
- 200
Kwa hiyo kamanda amekula njama ya kuiba,kweli tunapoelekea ni kubaya!Na kweli ang'atuke,maana utajiri kashaupata.,mil 600(siamini kama ameibiwa)
Na kweli ang'atuke,maana utajiri kashaupata.,mil 600(siamini kama ameibiwa)
Kaka swali lako lilivo uliza,nami nna jibu hivi!Anasubiri viongozi wa chadema waseme maovu ya Polisi,na wananchi waandamane kushinikiza ajiuzuru/ang'atuke.ndipo kwa aibu kubwa tutasikia tamko lake,kupitia vyombo vya habar i.
Nyie mnalalama tu lakini mjue hizo millioni 600 za kufidia huo upanga mtazilipa nyinyi walipa kodi kwa uzembe wa mtu mmoja!!! Ndio mana watu wanasema bongo ni nchi tambarale!!!
Kwa hiyo kamanda amekula njama ya kuiba,kweli tunapoelekea ni kubaya!
Huo Upanga kapiga mwenyewe!!
Nasikia muda wake wa kuondoka ni mwezi wa kumi na mbili,kwakuwa tumezoea kubebana wameamua asubiri muda wake ufike,ili aondoke kwa heshima!Hata kama hajakula njama ya kuiba huo upanga,yeye kama askari alitakiwa kuchukua tahadhari ya hali ya juu katika kuulinda na kuutunza huo upanga wa dhahabu! Hivyo basi kwa uzembe wake anatakiwa kung'atuka mara moja. Inashangaza wakubwa zake nao bado wanashindwa kufanya maamuzi magumu ya kumshinikiza aondoke madarakani!
Hapa tulipo sasa ndiyo pabaya pasipo na kifani kuliko huko tuendako, kwani hakuna anayeijua kesho! Tumwombe Mungu hiyo kesho tusiyoijua vyema, atupatie viongozi wenye uzalendo na heshima kwa watanzania!