IGP Mangu, traffic wa Ferry wanatia aibu

Musomakwetu

Member
Joined
Oct 17, 2013
Posts
64
Reaction score
28
Mara kadhaa nimekuwa napita pale alfajiri kwenda kwenye mihangaiko yangu ya kila siku,asbh wanarundikana pale kwenye kona karibu na soko la samaki na kazi wanayofanya ni kugombania magari hususan daladala,traffic hawa wanaongozwa na
kiongozi wao inasemekana ana nyota mbili japo sijabahatika kuziona maana huwa anavaa koti jeusi nadhan kwa lengo la kuficha hizo nyota,viongozi wa polisi fuatilieni pale muone mnavyodhalilishwa na hawa watu wachache
 
Yupo mmoja mwembamba sana ndio bos wao,

Jana jion ilikua hadi aibu watu wanakuja kuchomeka magari pale pale kituo cha polis wakiende wanalamba buku 2,

Wakera sana,ukija upande wa pili wanajeshi nao na geti lao full utumwa.

Kg kuvuka na gari kwa raia ni mateso
 
Mkuu nilikua pale jana jioni. Kupita na gari ilinichukua zaidi y saa moja na nusu! Poleni wa kigamboni!
Yupo mmoja mwembamba sana ndio bos wao,

Jana jion ilikua hadi aibu watu wanakuja kuchomeka magari pale pale kituo cha polis wakiende wanalamba buku 2,

Wakera sana,ukija upande wa pili wanajeshi nao na geti lao full utumwa.

Kg kuvuka na gari kwa raia ni mateso
 
Sio hapo tuu ni karibia traffic police wote nchi nzima ni aibu, aibu, aibu kwa Taifa
 
Acha majungu ya ukoo wenu! Kwani ferry siku hizi kuna daladala zinaenda kule? kwa sasa kuna mabasi 15 tu ya UDA ndio yanafanya safari ya kwenda ferry kutokana na ujenzi wa DART na traffic hawayasumbui haya magari ta UDA nijuavyo mimi!

Majungu sio mtaji ndugu, nijuavyo mie ni baada ya kukukamata wewe na hicho ki- noah chako ukapigwa faini ndio maana sasa waleta majungu!
 
Acha ujinga,jana UDA zote ambazo hazina vibao zilikua zinakamatwa,

Na leo asubuh zoezi linaendelea,UDA zipo zaidi ya 15 plus wazamiaji
 
Mwaka jana kuna jamaa alichomekea gari lake mbele yangu na foleni ilikuwa ndefu mpaka maeneo ya Ikulu,nilichukia sana nikaenda kwenye kile kituo chao kutoa taarifa,Trafiki alimfuata yule jamaa na jamaa akampatia chai!!!baada ya kuona nimeshtukia mchezo alinichukua mimi na jamaa aliyenichomekea akaenda kutuvusha kwa pamoja huku akisema ninyi nyote ni vijana sitaki mkosane!!!!
 
Mi niliwaona nikashangaa sana. Kumbe ndo tabia yao.
 
Mwaka jana kuna jamaa alichomekea gari lake mbele yangu na foleni ilikuwa ndefu mpaka maeneo ya Ikulu,nilichukia sana nikaenda kwenye kile kituo chao kutoa taarifa,Trafiki alimfuata yule jamaa na jamaa akampatia chai!!!baada ya kuona nimeshtukia mchezo alinichukua mimi na jamaa aliyenichomekea akaenda kutuvusha kwa pamoja huku akisema ninyi nyote ni vijana sitaki mkosane!!!!

We usiwe mbinafsi mkuu kuchomekia ni kawaida tu. Big up kwa trafic
 
Acha majungu ya ukoo wenu! Kwani ferry siku hizi kuna daladala zinaenda kule? kwa sasa kuna mabasi 15 tu ya UDA ndio yanafanya safari ya kwenda ferry kutokana na ujenzi wa DART na traffic hawayasumbui haya magari ta UDA nijuavyo mimi!

Majungu sio mtaji ndugu, nijuavyo mie ni baada ya kukukamata wewe na hicho ki- noah chako ukapigwa faini ndio maana sasa waleta majungu!

Afande vipi mbona unakuja juu! Mnavyotufanyia pale ferry ni mambo ya kistaarabu?
Hizo pilipili kichaa unazotumia zitakuja kukuletea matatizo mbele ya safari!!
 
Mara kadhaa nimekuwa napita pale alfajiri kwenda kwenye mihangaiko yangu ya kila siku,asbh wanarundikana pale kwenye kona karibu na soko la samaki na kazi wanayofanya ni kugombania magari hususan daladala,traffic hawa wanaongozwa na
kiongozi wao inasemekana ana nyota mbili japo sijabahatika kuziona maana huwa anavaa koti jeusi nadhan kwa lengo la kuficha hizo nyota,viongozi wa polisi fuatilieni pale muone mnavyodhalilishwa na hawa watu wachache

bos wao ndio huyu hapa
 
Mmh,, tatizo jamii hatuwi wakweli utakuta askar katimiza wajibu wake lakini kwa vile umetendewa haki sasa unaanza kutafuta njia ya kuwachafua,,,jamani tuwaache askar watimize wajibu wao kuliko kuanza kuwakatisha tamaa,,,,,ww inaonekani utaki kutii sheria bila ya shuruti sasa umeshurutishwa unaanza piga kelele !
 
Acha majungu ya ukoo wenu! Kwani ferry siku hizi kuna daladala zinaenda kule? kwa sasa kuna mabasi 15 tu ya UDA ndio yanafanya safari ya kwenda ferry kutokana na ujenzi wa DART na traffic hawayasumbui haya magari ta UDA nijuavyo mimi!

Majungu sio mtaji ndugu, nijuavyo mie ni baada ya kukukamata wewe na hicho ki- noah chako ukapigwa faini ndio maana sasa waleta majungu!

Wee ujielewi kabisa.

"Hakuna utafiti hakuna haki ya kusema"

UDA zinasumbuliwa sana hapo ferry na matrafic hao na jion gar za buguruni/ kigogo kivukoni nazionaga pale.

Kama wewe ni mhusika jirekebishe.
 
Acha majungu ya ukoo wenu! Kwani ferry siku hizi kuna daladala zinaenda kule? kwa sasa kuna mabasi 15 tu ya UDA ndio yanafanya safari ya kwenda ferry kutokana na ujenzi wa DART na traffic hawayasumbui haya magari ta UDA nijuavyo mimi!

Majungu sio mtaji ndugu, nijuavyo mie ni baada ya kukukamata wewe na hicho ki- noah chako ukapigwa faini ndio maana sasa waleta majungu!

Afande wewe unaishi wapi? fika magogoni saa 12 asubuhi analoongea mtoa mada ni kweli. madaladala yanafika kila siku na trafiki muda huo wamefika kitambo wakichukua buku 2 2. Fedheha utaratibu haufuatwi usijitetee IGP Mangu kama unasoma naomba kesho ufike saa 12 asubuhi uone trafiki wanavyo chukua buku 2 2.
 
je ungekuwa nawewe ni askari traffic ungekuwa unayafanya hayo unayolalamikia au ungenyosha sheria?
 
Back
Top Bottom