Mkuu wasikupe shida hao vibaraka. Kama huyo Mangu na hao vijana wake wangekuwa na unavu kama wanavyojinadi wangeangua kilio kule Tarime baada ya kutembezewa kichapo na vijana wa Mwamunyange? Kama hujaipata hiyo story ni kuwa kama kawaida yao walimkamata mjeshi akiwa anaendesha pikipiki bila helmet na amevaa kiraia. Basi kama kawaida yao wakamsumbua wakitaka hela ya "mboga" Sii unajuwa wanavyoendekeza njaa? Mjeshi akagoma na ngumi zikaanza.Angejua kazi majambazi yangemshinda, kazi anayojua ni kutii maagizo ya mabwana zake tu kuwadhibiti watetezi wa wanyonge. Siku ipo na siku yaja ambayo wauaji wote kuanzia fastjet mpaka mangu watajibu.
Kutafuta kick kwa maandamano iyo single imeshachuja
nafikiri sifa ya uyang'au inampendeza sana mama'yo maana amesababisha umezaliwa ukiwa na tabia chafu ya ushoga hadi hujui haki zako sababu ya kuwatumikia wezi na mafisadi. Wait time will tell.
Jidanganyeni chdema dola kushika mtaisikia kwenye maandamano nani awsoe manyang;au nchi wananunuliwa na wajerumani kulivunja taifa fuuuumbafuu
Mkuu wasikupe shida hao vibaraka. Kama huyo Mangu na hao vijana wake wangekuwa na unavu kama wanavyojinadi wangeangua kilio kule Tarime baada ya kutembezewa kichapo na vijana wa Mwamunyange? Kama hujaipata hiyo story ni kuwa kama kawaida yao walimkamata mjeshi akiwa anaendesha pikipiki bila helmet na amevaa kiraia. Basi kama kawaida yao wakamsumbua wakitaka hela ya "mboga" Sii unajuwa wanavyoendekeza njaa? Mjeshi akagoma na ngumi zikaanza.
Basi bwana hao vijana wa Mangu sii wakaitana ili wamsulubu huyo mjeshi kama walivyowapiga wale wanawake walioandamana leo. Mjeshi akaona Polisi wamekuwa wengi na hawezi kuwamudu. Akaruka hewani kuwaita wenzake waje stand ya Tarime kuokoa jahazi. Kilichofuata hapo ni kuwa hao wanaosifiwa hapa walikula kichapo kama watoto wakaishia kuangua kilio hadharani mchana kweupe na wengine kupelekwa hospital kwa huduma ya kwanza.
Kwa hiyo hao wanaoitwa mashujaa kwa kupiga wanawake na raia wasio hata na manati kumbe si lolote wala chochote wanapokutana na wanaume wenzao wa kazi. Kumbe hata waandamanaji ni kwa vile wanaheshimu sheria tuu, lakini siku kikiwaka na kuamua jino kwa jino yatatokea yale ya Pemba ya kutenganisha kichwa na kiwiliwili.
anza mjinjaa mamako mzazi na babako alafu watoto wako na mkee...nyambafuu wewe hata msemeje nchi haitawaliki inatawalika ...watanzania sio misukulee km chadema misukule ya mbowe ndiyo mbowe ndio mbowe.... watz hatutakuja chinjanaa milele na milele mwehuu wewe
Manosa, ongeza na ile ya kichapo chao kutoka kwa wajeda huko Mara.Safi sana Igp majambazi mpaka sasa wanavamia vituo vya polisi
Kwa taarifa yako unayemsifia anaitia petrol Tanzania, subiria kidogo tu tuanze kuchinjana sisi kwasisi, polisi watatuuwa kwa risasi lakini wao na watoto wao tunaishi nao mitaani mwetu na waanze kuhama maana kila mmoja kwa nafasi yake aanze kuchukuwa hatuwa kuangamiza polisi na familia zao tuone mwisho wake nani ataibuka mshindi polisi au raia. nawewe mleta uzi omba upate maisha marefu kidogo tu ushuhudie nakuonja machungu ya unachokisifia maana hufahamu unashabikia nini.
Sipati picha Pinda anakuwa Rais na Magufuli anakuwa Waziri Mkuu na Mwakyembe anakuwa Waziri wa Mambo ya Ndani. Sijui hawa machadema kama watapata ujasiri wa kuongea upuuzi wao wa kulazimisha maandamano. Yaanimile kutangaza tu kuwa wataandamana licha ya zuio la polisi tayari anakuwa amewekwa ndani
Muulizeni Mangu kesi ya Barlow imeishia wapi baada ya yeye kuwa IGP Mwanza ......
KUMBE kweli unashughulikiwa! Mwanzoni mi nilidhani wanakusingizia!
Wewe mpaka sasa upo chini ya ulinzi mkali una hatarisha usalama subiri ip address yako nirushe kwa watu wa cyber crime
Utamchinga mama na baba yako pekee tu.....Pum.bafu wewe
Kiukweli IGP MANGU amefanikiwa kulinda utulivu wa nchi kwa muda mfupi. Kwa namna alivodhibiti maandamano ya CHADEMA na kusupress eti maagizo ya kamati kuu.
KAMANDA UMEIELEWA VEMA NA KUITEKELEZA AMRI YA MH PINDA.
Kiukweli IGP MANGU amefanikiwa kulinda utulivu wa nchi kwa muda mfupi. Kwa namna alivodhibiti maandamano ya CHADEMA na kusupress eti maagizo ya kamati kuu.
KAMANDA UMEIELEWA VEMA NA KUITEKELEZA AMRI YA MH PINDA.
hapa siyo Mangu, Maandamano yeyote yakiwa hayajafuata taratibu za sheria ya Jamhuri ya Muungano Wa Tz, Jamhuri ya Muungano wa Tz inawashtaki..hao kabla ya kufanywa hivyo ni lazima watangaziwe Mara 3 kabla ya kuguswa:Linatoka Tangazo kabisa Kwamba kulingana na sheria na katiba ya nchi hii mnaarifiwa mtawanyike kabla ya kutumia nguvu, ubishi unatufikisha hapa. Mangu sasa kiapo chake kinasema atakufa kwa ajili ya Amani ya nchi yake, so ni kweli polisi hawaruhusiwi kuwashambulia RAIA mpaka IGP aruhusu kama raia wamekaidi agizo la Jamhuri.