Iga ufe.....

Spear_

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
1,881
Reaction score
1,492


Pedeshee ya Mujini...iga ufe, sijui haja ndogo anafanye.....ukimsachi hapo sidhani kama ana hata 100
 
duh hapo kweli iga ufe,
nimecheka sana.
 
Hakuwa na haja ya kuvaa shati. Angevaa skafu tu ingetosha.

Nimeipenda sana hiyo coment yako kaka. Hata Huku Rombo haijafika hiyo. labda kwenye maandamano ya X mass watakuja kunitoa Ushamba.
 
nlijua tu atakua muuza kahawa na kwa bahati nzuri kashika kikombe mkononi hapo.
 
Sipati picha anavyosumbuka akienda kujisaidia haja kubwa.
 
Hiyo inaitwa 92% unapoenda kwa fundi kushonesha,anakupima ovaloli kasoro mikono,mara nyingi inakuwa ni selfcontena.iko poa sana hiyo.
 
Asingevaa shati, angetupia kitop!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…