Hasa pale mzanzibar anaweza kuwa Rais Bara,ila Mtanganyika hawezi kuwa Rais Zanzibar.Huu Muungano uvunjike tu. Maana hauna manufaa yoyote yale kwa Tanganyika.
Hapana ifutwe Tanzania tiwe na Zanzibar. Hili ndilo jina kongwe kuliko Tanganyika yenu.Haiwezekani yani haiwezekani, haiwezekani wazanzibar wawe na haki ya kutawala kote, Tanganyika na Zanzibar afu watanganyika tusiwe na haki ya kutawala Zanzibar, sa huo ndo muungano gani wa kinyonyaji, hiyo hapana na hatutaki tena.
Tatizo ni mfumo wenyewe wa Muungano ulivo Tanganyika wameivalisha koti la muungano kwa hiyo Tanganyika ndio Muunganonarejea maombi ya kakobe , mambo ya wanzanzibar yanajadiliwa na wanzanzibar , mambo ya Tanganyika yanajadiliwa na Nani !? jibu ni hayupo !! Sasa huu muungano ulikuwa niwa nchi ipi na ipi Kama Tanganyika haionekani na Wala mambo yake hayaonekani !!
Kama Tanganyika haiopo , ilienda wapi !? na tuliambiwa ni muungano wa nchi 2!? kwanini Zanzibar ndo inapewa fursa ya kujadili mambo yake huko visiwani na wakati nchi ya Tanganyika haionekani popote kupewa fursa ya kujadili mambo yake , yaani iwe na bunge lake Kama ilivyo Zanzibar!!?
Hili Giza ndo linatumiwa kuhujumu maliasili za Tanganyika ,kwa kuwa hayupo wa kujadili kuhusu Mali za Tanganyika ,na Tena nchi yenyewe ilishayeyushwa kiaina aina !!
Wale wote wanaolalamikia Mikataba mibovu baina ya Serikali ya Tanzania na makapuni Ni hivi Mkataba wa Muungano ndio Mkataba mbovu kuliko Mikataba yote Tanzania ni kauli ya Makoma wa kwanza wa Raisi wa Zanzibar mhe Othman Masoud Othman aloitoa jana mkwajuni kaskazini ungujanarejea maombi ya kakobe , mambo ya wanzanzibar yanajadiliwa na wanzanzibar , mambo ya Tanganyika yanajadiliwa na Nani !? jibu ni hayupo !! Sasa huu muungano ulikuwa niwa nchi ipi na ipi Kama Tanganyika haionekani na Wala mambo yake hayaonekani !!