NGULI JF-Expert Member Joined Mar 31, 2008 Posts 4,801 Reaction score 652 Mar 22, 2010 #1 KISA 1. Ada juu 2. Matokeo hawajatoa
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,417 Mar 22, 2010 #2 More news pls
K Kyachakiche JF-Expert Member Joined Feb 16, 2009 Posts 986 Reaction score 211 Mar 22, 2010 #3 Au wanaunga mkono TUCTA!!
NGULI JF-Expert Member Joined Mar 31, 2008 Posts 4,801 Reaction score 652 Mar 22, 2010 Thread starter #4 Wamedai wanafunzi walipe kwanza ada mpya ndipo watoe matokeo yao na wao wamekataa kwa kugoma
K Kyachakiche JF-Expert Member Joined Feb 16, 2009 Posts 986 Reaction score 211 Mar 22, 2010 #5 Nguli said: Wamedai wanafunzi walipe kwanza ada mpya ndipo watoe matokeo yao na wao wamekataa kwa kugoma Click to expand... Aksante mkuu kwa ufafanuzi. Endelea kutuhabarisha yatakayoendelea kujiri.
Nguli said: Wamedai wanafunzi walipe kwanza ada mpya ndipo watoe matokeo yao na wao wamekataa kwa kugoma Click to expand... Aksante mkuu kwa ufafanuzi. Endelea kutuhabarisha yatakayoendelea kujiri.
Nyati JF-Expert Member Joined Mar 6, 2009 Posts 2,528 Reaction score 1,920 Mar 22, 2010 #6 Hawa jamaa ni kunguru wa zenji wakitishiwa nyau tu watarudi darasani sasa hivi. Ukumbuki walivyovurugwa bila haki na kuondolewa viongozi wao wakawekwa vibaraka nao wakanywea. Wee acha tu
Hawa jamaa ni kunguru wa zenji wakitishiwa nyau tu watarudi darasani sasa hivi. Ukumbuki walivyovurugwa bila haki na kuondolewa viongozi wao wakawekwa vibaraka nao wakanywea. Wee acha tu
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 26,348 Reaction score 39,813 Mar 22, 2010 #7 sasa tutasikia kuku wamegoma kuchinjwa. kisa bei ipo juu sana walaji wa hali ya hini wanakosa uhondo
kipipili JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 1,587 Reaction score 188 Mar 22, 2010 #8 Nguli said: Wamedai wanafunzi walipe kwanza ada mpya ndipo watoe matokeo yao na wao wamekataa kwa kugoma Click to expand... ada yao ni shilingi ngapi na je hawaipati kutika bodi ya mikopo?
Nguli said: Wamedai wanafunzi walipe kwanza ada mpya ndipo watoe matokeo yao na wao wamekataa kwa kugoma Click to expand... ada yao ni shilingi ngapi na je hawaipati kutika bodi ya mikopo?