God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,068
acha ujinga ww ata mtotom wa bill gates anasoma. au ww babaako kigogo huon tena thaman ya elimu coz godoro nyumba na mashamba yenu yako inform of noti. tena za buku ten. nahic ww hata cha 4 hujafik u cant this maybe ur joking usNa mm pia computer science hapo hapo ifm sema siitaji kusoma nafanya yangu shule sio issue hapa duniani
acha ujinga ww ata mtotom wa bill gates anasoma. au ww babaako kigogo huon tena thaman ya elimu coz godoro nyumba na mashamba yenu yako inform of noti. tena za buku ten. nahic ww hata cha 4 hujafik u cant this maybe ur joking us
Na mm pia computer science hapo hapo ifm sema siitaji kusoma nafanya yangu shule sio issue hapa duniani
na ww usikariri maisha acha kushauri wenzio vibaya sio kila anaesoma anataka kazi wengne wanapata maujuz ya kupambana na vikwazo mbali mbali vya maisha yabo wwKusomaaa cio lzm.....Mipango ty....w somaaa uje tembeaaa n baashaaa uwe una fanya kz y kubadilisha ty baasha
na ww usikariri maisha acha kushauri wenzio vibaya sio kila anaesoma anataka kazi wengne wanapata maujuz ya kupambana na vikwazo mbali mbali vya maisha yabo ww
Pana kazi nackia hatari, mm nlipataga certificate on IT bt nkabadili maamuz nkaona bora nipige six kwnza then nirud n namshukuru Mungu nimechaguliwa sasa kusoma degree mwaka huu so nshapiga gape wale wote ambao ngeingia nao diploma 2 this year.
Hata bila somaa....una weza tatuaa vikwazo bila shdah....
Vijana mkishajipanga basi mniambie niwatafutie rum..kama ifm ckushauri ukae sehem yoyote ile isipokuwa kigambon kwanza cost yake ndogoo tofaut na sehem nyingine pia ukichelew rum zinapanda bei na pia uwezekano na kukusa chumba mkubwa
Gape= gap.
Hatariiiiiii
Unaandika lakini?
sio wote wanaweza hivo vipaji hawana so mpaka wafundishweHata bila somaa....una weza tatuaa vikwazo bila shdah....
Kun nin tarehe 7
Eeee wewe Ericford ifm ilianza usajili toka tarehe 12 oct hivyo chelewa chelewa tyu na jtatu wanachuo wanatakiwa pale kukutana na ndo mwisho wa usajili labda kwa wale wa forth round ambao wengi leo tarehe 29 tumewatumia meseji via number yetu ya airtel so nenda chuoni ifm hata kesho ukachukue join instruction na uanze usajili hongera kwa kupata chuo